Yani nimekuja nduki nmejawa tabasamu nlivosoma hadi nguvu zmeniisha warumi pambaffff zako ha ha ha
lemutuz ndio big celebr wa bong
Mzuri ule mwanya na mdomo labda na k yake kwingine hoiii anazidiwa na Hamisa mabeto kwa shepu
Kigeugeu dunia kigeugeu
Wachekaji tupooo tumejaa siku vikianza kuchomoka kimoja kimoja
Hajawah niambiaaa maskini yarabiii,,
Hhhhhhhaaaa
Mimi zamani nilikua nampenda sana Wema sijui ikageukaje namuona wa thamani ndogo halaf mbayaaa
Id ya zamani uliitwa nani vileeee!!!
Unajua nilitoka ndo naingia nimecheka balaaaaaa, duuu si unajua haters hua hatukosekani tuu
Hivu heaven hua unampendea nini wema sikuelewagii!!!niambiee
Mfyuuuuuuuuuuu
Binam ni nani huyuuu eeeeee nishawashwa umbeaa aiseee
Basi na wewe mfanyie ujeuri, msifie sana Wema ili na yeye aumie leo hahaha
Hahaaaaaaaa nyie ambao hamumpendi Wema mmekuja kutafuta nini huku???? Hii ni special thread kwa fans wake
Cc Dinazarde honeyfaith na miss neddy...
Thread imenichekeshaje hii sikutegemea
I hate wema
Nimekumiss ulienda wapiii
I hate wema
Nimekumiss ulienda wapiii
Binamu kumekucha unahitajika jukwaan aka uwanja wa majobless, njoo tujipe raha sie
Ila wema mzuri bana af kisauti chake mweh mtoto anaongea sauti ya kike sijui ndo stereo sema mmh kagololi anakagawa gawa hadi kwa watoto wa kiswazi bora angekagawa kwa watu wa ukweeMfyuu ikufikie popote ulipo
Khaa, kweli leo mmeniweza, na uzi ndo mmeususa kabisa, itabid nirud team haters aiseeh, sikubali niwapoteze watu wangu wa nguvu
Best nae mbea kiama, mpaka sa ivi haujalala?? Aya umeshindaje? Mi nipo maeneo nakusanya maumbea, apa nakesha mpaka hasubuhi
Wewe ndo kama mimi, binamu unapoteaga wapi na wewe/?
Binamu kumekucha unahitajika jukwaan aka uwanja wa majobless, njoo tujipe raha sie