Labda sio warumi mie, mi kila siku nikitukana lazima nipewe ban tena za nguvu , sasa unavyosema ulinitetea sijuelewi kabisa maana ban kila siku napewa apa, bas waambie ma mods waniweke kwenye ignore list wasinipe ban kama kwel wewe dinazarde
We we huwezag kupuuzia kwa nini mbea gani wewe usiejua kudharau na kua na nyodo,,,,hujakamilika umbea weweee
Sasa ivi ngoja niwapotezee, nimeshakuwa matawi ya juu, mtu akijifanya analeta ujinga tu nampotezea then nam ignore maana ukibishana nao unawapa bichwa tu wakat mie numehangaika apa kuitwa warumi wenyew wanataka umaarufu kirahis kupitia mimi, nitawakomesha now subir
Si ulikua na ban wewe ya siku moja eee
Umeona eeee wanataka kupitia mgongo wakooo, ,nao waanze moja kama ulivyoanza wewe,,
Nimeamka salama,wewe jee