zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
-
- #41
Wema amezeeka bana hana chake mjini aachie kina Mimi Mars na Mobetto watoto wa mjini saivWengine umri mkubwa sura ndogo hapo unalilia ukubwa. Huku wengine wanalilia utoto ama kweli
Bro unawaza kumla wakati amechoka hiyvo. Mimi kwa sasa hata akikaa u.ch.. mkonga hausimami.Huyu wema Sepetu anamiaka 30, ivi aligombea umiss akiwa na miaka mingapi? Mana iyo 2006 , me nilikuwa form one . Nikiangalia miaka yangu mpaka sasa naona kanizidi miaka 2 tu.
Kiujumla Mimi nimekuwa Ila yeye naona yuko stagnant, hata kumkula naweza Sasa,
Wote hao hawana sura za utoto mbonaWema amezeeka bana hana chake mjini aachie kina Mimi Mars na Mobetto watoto wa mjini saiv
Ila suala ni kwamba kwanini udanganye umri si BD ilkuwa yake nani alimwambia aseme si angetuliaWote hao hawana sura za utoto mbona
36 mnamsingizia kuna pisi walikuwa class moja sekondari na alikuwa mkubwa kwa Wema Sasa hivi hiyo pisi ndiyo 33 huyu azidi 32 Sema kabanduliwa na kumwagiwa makeup za kila aina usoni iwe Nigeria,Warabu,Bongo movie mradi kamwagiwa.Huyo ana zaidi ya 36 ,,kuanzia mwaka 2012 alikuwa kila mwaka anasema ana 24,,kasimama Mara 4 kila mwaka ana 24 haipandi..
Sasa kaona aibu baada ya nyama za mikono kushuka,na uso wake kuanza kuzomea watu...
Nami nashangaa hapo. Mara alikua na 15 mara 16.Ila suala ni kwamba kwanini udanganye umri si BD ilkuwa yake nani alimwambia aseme si angetulia
Duu,,aisee!!36 mnamsingizia kuna pisi walikuwa class moja sekondari na alikuwa mkubwa kwa Wema Sasa hivi hiyo pisi ndiyo 33 huyu azidi 32 Sema kabanduliwa na kumwagiwa makeup za kila aina usoni iwe Nigeria,Warabu,Bongo movie mradi kamwagiwa.
Mastaa waongo waongo si wakuwaamini sana.Mange anatundanganya bhna. Form 4 miaka 14?? Manake kaanza form 1 na miaka 10. Ukitoa miaka sita since kasema alirukishwa darasa moja manake alianza darasa la 1 na miaka 4 ???? Jaman
Hahaha mimi nipo 32s30 plain: 30s : 30plus: 30ultra: 30X... baada ya hapo ndo unaingia 31
Hahaha mimi nipo 32s
1984 kazaliwaLeo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Twiga wao wanamwita Tanzanian Sweetheart (japokuwa binafsi huwa sioni urembo wake).
Binafsi yeye amesema kuwa ametimiza miaka 30 Ila wadaku wa mambo wanakuambia si miaka 30 bali 32 kwasababu amezaliwa mwaka 1988 so up to now ilitakiwa iwe miaka 32.
Hii tabia ya kudanganganya miaka wanayo mastar wengi wa kike si Tanzania pekee bali duniani kote sijajua sababu ya wao kufanya hivyo.
Labda wanataka wapate madili na wadate na wakaka wadogo labda ndio sababu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUzee unaogopesha lakini, mwenyewe nimeanza kumuelewa wema kwanini umri wake unaenda mbele na kurudi nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1990 September 28 kazaliwa
1995 January darasa la kwanza, miaka 4
2001 September 25 necta darasa la saba, miaka 10
2002 January form one, miaka 11
2005 nov form four, miaka 15
2006 August, miss Tanzania, miaka 15
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikifika 2030 , atasema amezaliwa 2000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Fanaya bas connection ya kanamba kake na sisi tuwakilishe mkuuJamaa yangu anamtafuna leo yaani hawa wanawake?
Nilikuwa form 2,Nina miaka 17Huyu wema Sepetu anamiaka 30, ivi aligombea umiss akiwa na miaka mingapi? Mana iyo 2006 , me nilikuwa form one . Nikiangalia miaka yangu mpaka sasa naona kanizidi miaka 2 tu.
Kiujumla Mimi nimekuwa Ila yeye naona yuko stagnant, hata kumkula naweza Sasa,