zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Twiga wao wanamwita Tanzanian Sweetheart (japokuwa binafsi huwa sioni urembo wake).
Binafsi yeye amesema kuwa ametimiza miaka 30 Ila wadaku wa mambo wanakuambia si miaka 30 bali 32 kwasababu amezaliwa mwaka 1988 so up to now ilitakiwa iwe miaka 32.
Hii tabia ya kudanganganya miaka wanayo mastar wengi wa kike si Tanzania pekee bali duniani kote sijajua sababu ya wao kufanya hivyo.
Labda wanataka wapate madili na wadate na wakaka wadogo labda ndio sababu