Huyu rommy jones ni matatizo yake binafsi,alianza kula hizi mambo alipokuwa meneja wa tid mnyama so msiwahusishe wasafiWakati Rom nae yupo
Haahaaa, Mange hana shukrni nilidhani atampongeza Makonda kumbe ndio kazidi kumshushia nyundo.. Mange noma naona kapata pa kufufulia issue ya Nsembo.Nenda kwa Mange...tayari mbona
Embu afanyie kazi swala la elimu hususan shule za gavoo maana sio kwa kiwango hiki cha kufeli,arudishe hadhi za akina jangwani azaniaMakonda ni kiongozi mzuri anayeongoza kundi la watu waliokata tamaa!
Mimi pia namwombea apate walau mtoto mmoja alafu ajue jinsi gani kulea kunahitaji disciplineUzuri ana mke mwombaji,Mungu atamlinda na kumwongoza
Hiyo suprise ndio anataka kuifanyia hapo hapo ndaniSijui wakimuweka wema sepetu ndani na ile surprise anayotaka kutupa itaishia wap (nawaza kwa sauti)
Kwani ye nani mpaka amkisema jambo lenye ukakasi lichunguzweHivi hawa watu ambao wanatuhumiwa kila mara na huyu mwanadada waliahawahi hata kuchunguzwa kweli??
kwa mantiki hiyo majambazi wanaokamatwa na silaha nao wasitangazwe kwakuwa hawajawa proven/hukumiwa na mahakama kuwa ni majambazi.... kutaja sio kosa ndugu.... na watuhumiwa sio wahukumiwa na ndio maana kawaita kukutana nao kituo cha polisi
Mimi kanifurahisha kwa hao akina makomeo na swai,hao maafande wamekuwa wakionea sana wanyonge mitaa ya kinondoniPia mi nadhani huyu jamaa kaanza emu tumpe muda tuone atakapoishia....Mungu yu mwema hata mbuyu ulianza kama mchicha....
Atarudishaje wakati ampo tayali kupokea mabadiliko zaidi ya kukosoaEmbu afanyie kazi swala la elimu hususan shule za gavoo maana sio kwa kiwango hiki cha kufeli,arudishe hadhi za akina jangwani azania
Kuna wale wapakistan walikamatwa na kilo za kutosha tu as ushahidi, na wakaachiwa hadi leo hakuna aliyewajibishwa.Ukimkamata TID ukawaachia wapakistani walioingiza hapo hupambani na unga.Na hadi leo hakuna mtu aliyetiwa hatiani kwa uzembe ule wa wale wapakistani KUTOROSHWA,hawakupaa angani wale wamepita kwenye entry ya kawaida tuI hope jamaa ana ushahidi sio hear say za kimtaani
Yeye mwenyewe alishasema kuwa hana ushahidi sikiliza speech yakeYeye,mkuu wa mkoa,inaonekana anaushahidi ndomana kawataja,tusubiri tuone,nn kitaendelea.
Safi saana makonda...kwa hili nitakusifu mileleView attachment 466457
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda.
Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza madawa ya kulevya Huku wasanii watumiaji wa madawa hayo wakitajwa na kutakiwa kuripoti polisi wenyewe mapema ,
wasanii waliotajwa na kutakiwa kuripoti polisi ni
1. Wema sepetu
2. Petiman wakuache
3. TID
4. Mr. Blue
5. Recho(kizunguzungu)
SOURCE; Clouds FM (Informer)
NB: Suala la Dawa za Kulevya limikuwa likizungumziwa na kupewa kipaombele kwa muda mrefu hapa JamiiForums. Kwa taarifa zaidi tembelea mada hii, kupata orodha ya mada nyingine nyingi zinazojadili suala hili - Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
Wewe unafikiri yeye ni nani?Kwani ye nani mpaka amkisema jambo lenye ukakasi lichunguzwe
Sure sio issue ndogo hiimkuu biashara ya unga sio sawa na ile ya kuuza na kununua pipi....kwamba ukiulizwa tu unamtaja mangi fasta....no biashara ya madawa ni hatar na very serious kiasi hawaoni ajabu kumpoteza yeyote atakae zuia njia zao...!!!!!
Kiukweli hao waliotajwa kama kweli wanajihusisha na mizigo basi maisha yao ni hatar zaid mikononi mwa madrug dealers kuliko hata mikononi mwa serikali. wale jamaa hawanamchezo and they have strong support behind.