Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Mr Blue...

Ukikutwa huna hatia wapige hela kubwa ya kukudhalilisha, Harry Samir
 
Rachel[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na ww umo lakin tu hauvum
 
Mr Blue...

Ukikutwa huna hatia wapige hela kubwa ya kukudhalilisha, Harry Samir


Hao wasanii wote waliipigia kampeni ccm na hata wakikutwa hawana hatia hawana ubavu huo wa kutunishiana misuri na serikali yao..mbona wamwdhurumiwa hela za kampeni na hawajashtaki popote?
 
Mbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??

Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!

Wauza Unga wenyew hawakamatwi kirahisi hivyo ndugu hapo watakamata wasambazaji walala hoi tu
 
SEMA TANZAGIZA YANGU WATAALAMU SANA WA KUTOA VICHWA VYA HABARI
ILA HAWASOMI HABARI YENYEWE
SASA NGOJA TUSUBIRIE MWISHO UTAKUWAJE USIJE SHANGAA
INAPOTELEA HEWANI HEWANI TU NA USIJUE WAPI WAMEPELEKWA NA KESI AMA UCHUNGUZI UNAISHA VIPI
 
Hapa amna kitu makonda alichofanya anabembea tu na kuzunguka anataja mteja badala ya mtengenezaji hana uwezo uo
 
Back
Top Bottom