Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Mkuu wa Moa amechelewa kwenye hili, linahitaji utekelezaji wa haraka kunusuru kizazi hiki!
Amechelewa nini? Makonda is just a regional commissioner na ame-dare kuufanyia kazi mtandao wa madawa ya kulevya huku akiwataja askari wanaojihusisha na biashara hii haramu halafu unasema amechelewa! JE YULE KIONGOZI MKUU KABISA ALIEONDOKA MADARAKANI NA MAJINA YA VIGOGO WAUZA UNGA MFUKONI NAE UTASEMAJE! HUKU YEYE ALIKUA NA MAMLAKA YOTE! Fikiri kabla hujaandika upuuzi humu. GO MAKONDA GO mbili ilianza na moja huo ni mwanzo mwema
 
Hizi mambo muda mwingine si za kutangaza kwenye vyombo vya habar
Chamcng ni dola tu kuwaibukia kmya kmya na kumalizana nao...
Nini maana ya kuwataka wafike ktuo vmcha polisi..?
Inamaana wanapewa muda wa kujipanga na kujua wajibu nini..?
Aisee hii mambo ingependeza iende kimya kmya tu...
Unafatwa unabanwa unaeleza yote unayofaham then tunafanyia maelezo yako...
Mwsho wa cku tunamalizana na mapapa kama nia nikumaliza hli janga la madawa ya kulevya...
 
Tunapozungumzia "mtandao" wa wauza unga ni "mtandao" wa dunia nzima,maana YULE BOSS MKUU WA HUKO SIJUI U.S AU MEXICO ATAJUA KABISA KWA SASA MTEJA/WATEJA WANGU WA TZ HAWANUNUI UNGA KWANGU KWA VILE KUNA MSAKO MKALI ULIOANZISHWA NA MUHESHIMIWA FULANI,NA WAO HAWAKO TAYARI KUONA MAUZO YAO YAMESHUKA HATA SIKU MOJA NA WAKATI WANAJUA KABISA SABABU YA KUSHUKA NI FULANI,NA KAMA UNAVYOJUA WAUZA UNGA AKILI YAO ILISHAOZA SIKU NYINGI MAANA WANAJESHI HALAFU HALITUMIKI SANA KWAHIYO VITU KAMA HIVI NDIO HUWA SABABU YA KUJARIBIA WANAJESHI WAO.
umemaliza??
 
Hii nimeipenda, na ndio njia pekee tutafika, tutoleane aibu, tuondoe urafiki na kujuana.

Vipi chid benzi, vipi na hawa wengine ambao inasemekena ni wauzaji nguli. ?

Marekani wameanza kwa kujenga ukuta, sisi huku kwa mapenzi ya Mungu tuanze kwa gia hii....lazima vigogo wote hawa wa unga wafilisiwe na kutiwa ndani si chini ya miaka 60 kila mmoja.
 
Sijapenda njia ilo tumika inawachafua...
Unaweza kuaita kwa siri kuwahoji...kukiwa na ushahidi ndio utangaze...kwa njia hii kama hakuna ushahidi basi hii ji kesi ya kuchafuana na madai
kwa mantiki hiyo majambazi wanaokamatwa na silaha nao wasitangazwe kwakuwa hawajawa proven/hukumiwa na mahakama kuwa ni majambazi.... kutaja sio kosa ndugu.... na watuhumiwa sio wahukumiwa na ndio maana kawaita kukutana nao kituo cha polisi
 
Paulo anakuwaga mawazo yenye tija kwa kizazi hiki na kijacho kuna muda anajitoa ujinga kabisaaa mpk mi nywele znanisisimkaga inakuwa vigumu hata kuamin km ni drama Angeondoa na mabuibui ya siasa kichwani angekua mashuhuri kuliko hata bwana huyu anyway huyu ndio wakumeongezea dozi ya maombi this time ili adhma hii ya kulinusuru taifa na vijana lifanikiwe
ni aya ndogo lakin umenena kila kitu. well said
 
Huenda Makonda akawa anawafahamu wahusika vizuri sanaa ispokuwa anatafuta uhalali wa kisheria kuwatia nguvuni. Huwezi tu mvamia mtu bila ushahidi so huenda hawa anaowataja wakatupatia hizo evidences ambazo zitatupa uhalali wa kisheria kuwatia nguvuni hao akina Salaah na wengine ktk wanao tajwa sanaa
 
Watanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..

Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
Si kweli kila kutaja ni udhalilishaji... hata jambazi aliyekamatwa na silaha (before kuhukumiwa na jaji) nae amedhalilishwa kama unacho amini kina ukweli ikizingatia wengi wao ushinda kesi... Its ok kutaja mtuhumiwa.
 
you are just being too negative.. not because makonda hafanyi kitu ila ndivyo ulivyo... the boy is trying his best... na tofauti yako na yeye ni kwamba u are not mkuu wa mkoa ila mshangiliaji na mtoa negative comment.... God bless makonda kwa kujaribu
Sawa, tusubiri tuone mwisho wake
 
Namuona mama huruma huyooo police,mwaka huu unaanza vzr ngoja tutayaona mengi
 
Tunapozungumzia "mtandao" wa wauza unga ni "mtandao" wa dunia nzima,maana YULE BOSS MKUU WA HUKO SIJUI U.S AU MEXICO ATAJUA KABISA KWA SASA MTEJA/WATEJA WANGU WA TZ HAWANUNUI UNGA KWANGU KWA VILE KUNA MSAKO MKALI ULIOANZISHWA NA MUHESHIMIWA FULANI,NA WAO HAWAKO TAYARI KUONA MAUZO YAO YAMESHUKA HATA SIKU MOJA NA WAKATI WANAJUA KABISA SABABU YA KUSHUKA NI FULANI,NA KAMA UNAVYOJUA WAUZA UNGA AKILI YAO ILISHAOZA SIKU NYINGI MAANA WANAJESHI HALAFU HALITUMIKI SANA KWAHIYO VITU KAMA HIVI NDIO HUWA SABABU YA KUJARIBIA WANAJESHI WAO.
Haiko hivyo, hizi ni hofu zisizokuwa na msingi. Stori za vijiwe vya kashata
 
Bado cjaridhika aache utan, aende deep zaid, yy anatutajia watumiaji unga, atupe report or majina ya waliombebesha mzigo ulioshikwa airport wa masogange, aache utan bado hajamaliza assignment, just work hard Mr makonda
 
Tunapozungumzia "mtandao" wa wauza unga ni "mtandao" wa dunia nzima,maana YULE BOSS MKUU WA HUKO SIJUI U.S AU MEXICO ATAJUA KABISA KWA SASA MTEJA/WATEJA WANGU WA TZ HAWANUNUI UNGA KWANGU KWA VILE KUNA MSAKO MKALI ULIOANZISHWA NA MUHESHIMIWA FULANI,NA WAO HAWAKO TAYARI KUONA MAUZO YAO YAMESHUKA HATA SIKU MOJA NA WAKATI WANAJUA KABISA SABABU YA KUSHUKA NI FULANI,NA KAMA UNAVYOJUA WAUZA UNGA AKILI YAO ILISHAOZA SIKU NYINGI MAANA WANAJESHI HALAFU HALITUMIKI SANA KWAHIYO VITU KAMA HIVI NDIO HUWA SABABU YA KUJARIBIA WANAJESHI WAO.
Haiko hivyo na haijawahi kuwa hivyo
 
Nakumbuka hili vugu vugu la kutaja vijiwe vya wauza madawa lilianza hapa hapa JF, ni jambo la kujipongea kwa hatua anazochuka Rais wa mkoa
 
Back
Top Bottom