Duh, siyo bango hilo kwa Wema!Wema sepetu anyongwe jamani kaaribu mamilioni ya Watz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, siyo bango hilo kwa Wema!Wema sepetu anyongwe jamani kaaribu mamilioni ya Watz
Hili nalo neno!Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
Tafadhali ukipata jibu uniabarishe.Hivi huyu ni yule Wema wa CCM ama?
[emoji3]Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Me more sweetheart, siwezi kusubiri kusikia habari njema kutoka kwako [emoji4].Nimekumc my cwt, upo
Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.Mange na yeye uwa kuna watu ambao uwa wakisemwa basi uwa analalamika.
leo anasema eti makonda kawdhalilisha wanaweza mfungulia mashtaka nikabaki najiuliza yeye anaowataja mbona uwa hasemi kuwa kawadhalilisha wamfungulie mashtaka maana kawataja wengi japo pia ambao uwa anawataja watu wanadai kweli wauza unga.
then nikacheka comment za wapambe eti wanadai mlengwa hapo ni wema eti wasafi na muna love wamemchongea wema kwa makonda ili wamkomoe yani nimecheka
Nchi haina sheria,huyo wakili atambiwa na yeye anahusika,hushangai wanafungwa wabunge waliochaguliwa na wananchi kwa kesi zisizo mbele wala nyumaKula shavu la uwakili wa watuhumiwa mkuu
askar wenyewe ni watuhumiwa mkuu!!Watanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..
Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
KabisaaWaende polisi wao watatueleze ni wapi wanunua na kuuzia
Siasa gani Kaka,hoja yangu ni kwamba huwezi kumfunga mtu na kumdhalilisha mtu, kutaja majina ya watu,sijui hapa Tanzania lakini kwa nchi za watu wanafahamu utu na sheria hilo ni kosa kubwa sana,na kama umekutikana huna kosa kumbe zilikuwa dhana tu,basi na kulipwa utalipwa
Hata kama anaushahidi kutoka mbinguni hiyo sio kazi yake ni kazi ya mahakama...Yeye,mkuu wa mkoa,inaonekana anaushahidi ndomana kawataja,tusubiri tuone,nn kitaendelea.
Alijibidiisha sana kwenye kampeni ila ndio anaongoza kwakuisoma namba
ala eti watu wanaiwekea vikwazo jf. watz bwana.KAMA WAKOO SERIOUS SALOON ZA KINONDONI NA VILE VISEHEMU WANAUZA BIA ZA JUMLA KINONDONI NYINGI WANAUZA UNGA HAPOOO ANA WENGINE WAMEWATENGENEZEA CHUMBA KABISA WAKIFIKA WANAPELEKWA VIP ROOM KUNA AC... NA MAMBOYAOO WANAMALIZA HUMO HUMO... KUANZIA MANYANYA KUSHUKA CHINI KAMA UNAENDA MAKABURINI PEMBENI KUNA VIBANDA VYA KUUZIA POMBE ZA JUMLA NGINGI UKIINGIA WANA CHUMBA KINGINE AMA. ZAIDI YA KIMOJA
Ok hapo umeeleweka ...maandishi yako awali uliweka kiukakasi[emoji23]Siasa gani Kaka,hoja yangu ni kwamba huwezi kumfunga mtu na kumdhalilisha mtu, kutaja majina ya watu,sijui hapa Tanzania lakini kwa nchi za watu wanafahamu utu na sheria hilo ni kosa kubwa sana,na kama umekutikana huna kosa kumbe zilikuwa dhana tu,basi na kulipwa utalipwa
Sina interest yoyote in this saga ila tu kinacho nistaajabisha ni jinsi watu wanavyokuza watu kiasi kwamba kila baya linalowakuta wanahisi ni njama za kumshusha yeye.Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.
you are just being too negative.. not because makonda hafanyi kitu ila ndivyo ulivyo... the boy is trying his best... na tofauti yako na yeye ni kwamba u are not mkuu wa mkoa ila mshangiliaji na mtoa negative comment.... God bless makonda kwa kujaribuHii inaitwa nitoke vipi ya makonda. Hakuna kitakachotokea, Makonda ni mzee wa maigizo, hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu kupitia hao wasanii. Mkuu wa mkoa badala ya kuchukua hatua, una kazi ya kubwabwaja kwenye media(clouds)