Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
Hili nalo neno!
 
Mange na yeye uwa kuna watu ambao uwa wakisemwa basi uwa analalamika.
leo anasema eti makonda kawdhalilisha wanaweza mfungulia mashtaka nikabaki najiuliza yeye anaowataja mbona uwa hasemi kuwa kawadhalilisha wamfungulie mashtaka maana kawataja wengi japo pia ambao uwa anawataja watu wanadai kweli wauza unga.
then nikacheka comment za wapambe eti wanadai mlengwa hapo ni wema eti wasafi na muna love wamemchongea wema kwa makonda ili wamkomoe yani nimecheka
Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.
 
Kula shavu la uwakili wa watuhumiwa mkuu
Nchi haina sheria,huyo wakili atambiwa na yeye anahusika,hushangai wanafungwa wabunge waliochaguliwa na wananchi kwa kesi zisizo mbele wala nyuma
 
Watanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..

Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
askar wenyewe ni watuhumiwa mkuu!!
 
Siasa hazijengi mkuu

Sent from my SGH-M919 using JamiiForums mobile app
Siasa gani Kaka,hoja yangu ni kwamba huwezi kumfunga mtu na kumdhalilisha mtu, kutaja majina ya watu,sijui hapa Tanzania lakini kwa nchi za watu wanafahamu utu na sheria hilo ni kosa kubwa sana,na kama umekutikana huna kosa kumbe zilikuwa dhana tu,basi na kulipwa utalipwa
 
Mbona yule mumewe Shamimu wa 8020 blog hayupo? Mange alisema yule jamaa naye nuksi hapa mjini.
 
KAMA WAKOO SERIOUS SALOON ZA KINONDONI NA VILE VISEHEMU WANAUZA BIA ZA JUMLA KINONDONI NYINGI WANAUZA UNGA HAPOOO ANA WENGINE WAMEWATENGENEZEA CHUMBA KABISA WAKIFIKA WANAPELEKWA VIP ROOM KUNA AC... NA MAMBOYAOO WANAMALIZA HUMO HUMO... KUANZIA MANYANYA KUSHUKA CHINI KAMA UNAENDA MAKABURINI PEMBENI KUNA VIBANDA VYA KUUZIA POMBE ZA JUMLA NGINGI UKIINGIA WANA CHUMBA KINGINE AMA. ZAIDI YA KIMOJA
ala eti watu wanaiwekea vikwazo jf. watz bwana.
hebu ona taarifa nyeti kama hizi!
 
Siasa gani Kaka,hoja yangu ni kwamba huwezi kumfunga mtu na kumdhalilisha mtu, kutaja majina ya watu,sijui hapa Tanzania lakini kwa nchi za watu wanafahamu utu na sheria hilo ni kosa kubwa sana,na kama umekutikana huna kosa kumbe zilikuwa dhana tu,basi na kulipwa utalipwa
Ok hapo umeeleweka ...maandishi yako awali uliweka kiukakasi[emoji23]
 
Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.
Sina interest yoyote in this saga ila tu kinacho nistaajabisha ni jinsi watu wanavyokuza watu kiasi kwamba kila baya linalowakuta wanahisi ni njama za kumshusha yeye.
Ina maana hata hao askari 9 wametolewa mbuzi wa kafara ila target alikuwa yeye?
 
Hii inaitwa nitoke vipi ya makonda. Hakuna kitakachotokea, Makonda ni mzee wa maigizo, hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu kupitia hao wasanii. Mkuu wa mkoa badala ya kuchukua hatua, una kazi ya kubwabwaja kwenye media(clouds)
you are just being too negative.. not because makonda hafanyi kitu ila ndivyo ulivyo... the boy is trying his best... na tofauti yako na yeye ni kwamba u are not mkuu wa mkoa ila mshangiliaji na mtoa negative comment.... God bless makonda kwa kujaribu
 
Back
Top Bottom