Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Pia Romy Jones wa WCB na Petit man ambaye ni shemeji yake Diamond pia wametajwa.Director Joan rafiki wa Wema naye katajwa,
List ya wote ipo wapi?
Hatua aliyochukua ni kuwapeleka polisiAmewaja Kwa majina? Na kama kweli amewachikilia hatua gani?
Pale nilikuwa nikipita naogopa sana maana wale mateja wanatisha vibaya sana. Tumuombee Mhe. Makonda akifanikiwa itakuwa habari njema kwa jamiiMwenge..kituo cha itv kuna bar inaitwa Maryland. Sasa nyuma ya Maryland bar..mtaa wa kwanza kushoto..hapo ndiyo kitivo cha mateja dar es salaam.
Kuna jamaa mmoja white hivi anavaa Sana pensi..huyo ndiyo pusha wao hapo tangu Mimi nasoma Mwenge primary .
Kuna watu waliwachezea faulo ili watokeKuna wale wapakistan walikamatwa na kilo za kutosha tu as ushahidi, na wakaachiwa hadi leo hakuna aliyewajibishwa.Ukimkamata TID ukawaachia wapakistani walioingiza hapo hupambani na unga.Na hadi leo hakuna mtu aliyetiwa hatiani kwa uzembe ule wa wale wapakistani KUTOROSHWA,hawakupaa angani wale wamepita kwenye entry ya kawaida tu
Ngoja watoto wako wale unga ndo utamtetea wema vizuri Zaidi;CCM hawana fadhira leo hii wamemuubua wema sepetu na alivyojifanya lumpe lumpe ss kasalitiwa mchana kweupe ,ss kaubuliwa ndo utajua CCM siyo watu wa spot spot
Kuna watu wana heshima zimewajaa mpaka wanazitoa tu bure.Hahaha nimekuelewa sana.