Heeee hebu dadavuaHalafu tunataka mkuu wa mkoa wa Arusha afanye uchunguzi atuambie ndege iliyo beba shehena ya madawa y a kulevya na kushindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA na kuelekezwa kwenda kutua Arusha mzingo ulikuwa wa nani
Kuelekea msimu wa Valentine Day nimeona videos clouds tv Ray C anafanya cover nyimbo za Recho amenogesha haswaa,
Yani imekua kinyume badala ya Recho kufanya cover za ray c ni ray c ndiyo anafanya cover za Recho.
I'm so happy for Ray C kwa kweli.
Yalikuwa ni madawa au mzigo wa mtoto wa fulaniHeeee hebu dadavua
Mmmh hii kweli ni vitainaonekana unafahamu sana hadi wahusika na watumwaji eeeh 😀😀😀😀😀😀
Aiseee Duuuuhh hatariYalikuwa ni madawa au mzigo wa mtoto wa fulani
Ziliingia gari mbili nyeusi zikaizunguka kwa nyuma zikabeba mzigo na kuelekea hoteli fulani
Kuna mtu aliandika hivyo humu jf nakumbuka mpaka leo
Mnafukuwa makaburi yaliyofukiwa zamani
unaongelea emotion/feelings kaka but watuhumiwa wengi hutajwa hata wa TRA ama kubaka nk na sio red handed na wengi hushinda kesi-not necessarily a defamation. Besides hao watu wametajwa na connection yao ambayo yeye anawaita kuwahoji/tracking ..... na anatangaza kutengeneza public awareness kuwa hili ni tatizo anajaribu kulitolea ufumbuzi.Majambazi umesema ni red handed.
Hawa wengine hakuna ushahid at hand...sio njia nzuri kuwachafua watu kwenye media....
Ingekua yeye ametangazwa na raia anahusika unadhani huyo mtu angepona...
ah ha haaaaaLeo hakuna mapenzi MUBASHARA kabisa clouds?[emoji15]
wanaweza hata kumroga aseeHapo inabidi apatiwe ulinzi wa aina mbili.. Ukitegemea huu wa kuonekana tu, watatumia njia nyingine
Mm ni mlinzi wa kitonga sec. Nahuyo alikua mwanafunzi wa shule hii japo cjui matokeo yakeNawasiwasi kuwa wewe ni mhitimu wa kidato cha4 Shule ya sekondari Kitonga/ kidete
Hadi zari naye naskia yumo kwenye huo mtandao, hawa wasanii hakuna atakayesalimikaSafi.
Hapo Bado kudakwa Dimond na genge lake.
Kidogo kidogo tutaheshimiana hapa mjini.
Zari atasoma upepo mapema huyokaona bongo fleva hailipi na antka kuishi kistaa, mi nasubir zari na mond
Hivi mind yeye kasevu?maana yeye na wema na zari mmh!Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Hao wameshakula vitu vyao,hapooo...AmadaView attachment 466435 wa hatari,yanakula hadi akili kama hawa
Unaongea nini wewe,chonji yuko jela na bado anaendeleza biashara zake uraiani kama kawa,nguvu waliyonayo wauza ngada bongo ni kubwa kuliko unavyofikiria,alishindwa raisi aliepita na huyu wa sasa pia atafeli tu,kesi ya tumbili ukimpa ngedere ahukumu unadhani outcome itakuaje?.Wilaya ya kinondoni mbona sio kubwa yakifukuliwa Mapapa hata matano tu biashara itapungua Sana. Kuna WATU wanaamini huu MTANDAO ni hatari Sana wanafananisha na marekani.. Hapana Kwa tanzania ni RAHIS Sana kuudhibiti. USHIRIKIANO ukitolewa. Makonda Jana kasomeka
ila nyandutozy yule kweli muuza ngada..Dogo Hamidu - Wanaosniff na kusmoke mi ndo nawacontrol