Me simo...Omm, mwana F, makonda na jamaa GSM hao washikaji wanapasha wote pamoja so hao weka zero
Sijamuona Chid Benzi hapo
usinaona hata ye kashindwa kumwekea swahiba wake GSMMbwia unga hata uweke bomba kichwani hataji pusher aisee ,wale kama wanakula kiapo fulani.
If you know what i mean.....
Kuna msemo wa kiingereza wanasema " if u want me to tell about you show me your friends"