mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
If you know what i mean..... Fuatilia hizo dots then plus safari za China na South lazima uta doubt tu its the matter of time utasikia na yeye anaitwa central katika hii vita fake ya madawa ya kulevya.
Kuna msemo wa kiingereza wanasema " i will tell about you if u show me your friends".
Halafu Kijiweni kwa mnyama TID mbona wanashinda wengi sana akiwemo na KR Muller , Rommy Jones, Ommy etc etc au ni suala la muda tu police na RC watakuja kujchukulia ujiko kwa hawa dagaa wa huu mtandao?