Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

daah hili ni tatizo kubwa aisee tuombe Mungu atuepushe
 
Mimi nanunua pop corn nione vichwa na shingo za wasanii zitakavyobaki kama bata mzinga.

Kama chid benz amekuwa kijiti na alivyokuwa na mwili vile haka kamanzi ndiko katakuwa skeleton la kusomea biology feza secondary
 
Morogoro kuna mtu anaitwa Baraka (anajiita Barakat) Huyu anasafiri sana nchi kama Pakistan,SA, Italy, n.k KIBIASHARA, na ni rafiki mkubwa wa siWEMA na Remmy Jon. Uhusiano wa siWEMA na Petit unajulikana. Huitaji University degree, kumuelewa AFANDE SELE.
 
Hapa suluhisho ni kuwaweka ndani wasanii wote tu, ukiachana na wanojielewa akina prof Jay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…