Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Kutumia drugs haimaanishi haujielewi. Watu wanatumbukia kwenye drugs kwasababu tofautifotauti. Wapo wanaotumia cocaine kupata creativity zaidi. Na hapa watu wa sanaa ndiyo victims zaidi. Nataka ufahamu drugs kama cocaine inauwezo kusaidi kukurudisha kwenye original thoughts na hapa ndipo creativity ilipo. Nilisikia mahojiano fulani artist fulani alisema alipokuwa akitumia cocaine ilimfanya aone kama vile she can conquer the world. Na ni kweli...cocaine inakupa drive.....wasanii wanataka hii drive ndiyo maana wanatumbukia huko. Vanessa yeye ni artist ni rahisi tu kutumbukia. Mtu kama Oprah Winfrey huwezi dhani alikuwa anatumia crack cocaine.

Jambo jingine, watu wanatumia drugs kukabiliana na ugonjwa fulani au kupunguza maumivu. Kama ulimsikia Chid Benz alisema anaumwa sana tumbo na hiyo cocaine/Heroin anatumia inamsaidia kupunguza maumivu.

Waathirika wa drugs tusiwalaumu wala kuona wakosaji sana......nakwamboa yoyote yule inawezekana ukatumbukia. Yeyote yule. Ombea uishi maisha yasiyo na msongo wa mawazo au magonjwa. Hata matumizi ya drugs za Hospital kwa muda mrefu yanaleta urahibu na mwisho ni kifo
daah hili ni tatizo kubwa aisee tuombe Mungu atuepushe
 
Morogoro kuna mtu anaitwa Baraka (anajiita Barakat) Huyu anasafiri sana nchi kama Pakistan,SA, Italy, n.k KIBIASHARA, na ni rafiki mkubwa wa siWEMA na Remmy Jon. Uhusiano wa siWEMA na Petit unajulikana. Huitaji University degree, kumuelewa AFANDE SELE.
 
Wakongwe wenye JF naona bado mpo
ni hayo tu!
IMG-20170123-WA0005.jpg
 
Hapa suluhisho ni kuwaweka ndani wasanii wote tu, ukiachana na wanojielewa akina prof Jay
 
Back
Top Bottom