Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

jux naye ajitafakari mademu zake wote wanahusishwa na madawa...jacky kafungwa na vanessa ndio huyo katajwa....ngoja tuifuatilie hii muvi. ni mwendo wa kununua popcorn tu
Sio ajiangalie,jux kontau wa sembe siku mingi sana,wanaomjua wanafamu hilo.
 
Nimeiona na PDF document imekua attached sema naona mods wameitoa hio thread labda wanataka wajihakikishie mana ni official annoucement kutoka kwa wazee wa kazi na kuna muhuri wao pale wako kama 7 sjui ila chbu ndo wa kwwnza
Kama uliipakua fanya msaada PM
 
kuna zile barua toka china zililetwa humu na kuna uzi ukawa sticky juu yao uliendaga wapi?
hata jf tunajitahidi kitambo kufichua sema tukakosa support
 
safi mkuu
 
Nimeiona na PDF document imekua attached sema naona mods wameitoa hio thread labda wanataka wajihakikishie mana ni official annoucement kutoka kwa wazee wa kazi na kuna muhuri wao pale wako kama 7 sjui ila chbu ndo wa kwwnza
Hiyo siyo ya kweli nimeiona pia
 
Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.

Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
 
Akamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.

Wapo wabunge na mawaziri wa CCM wanahusika pia
 
Binafsi nasifu hata hivi vijitihada ya makonda
(katika moja ya post zangu niliwahi kusema kwa nn kufuatilia kusianzie kwa watumiaji- naona wazo langu lilitekelezwa.)

Walakini: network ya madawa ya kulevya ni kubwa kuliko tunavyofikiri, imani yangu ni kwamba ni mtandao unaohusisha baadh ya wakuu na viongozi waandamiz wa serikali, ndio mana mukulu wa awamu ya 4 ,3 yalimshinda.

Ili tufike tunatakiwa tuondoe kujuana,urafiki, usela , ukada n.k,

Tukishindwa kwa njia hii basi plan B ni Duterte's way..
 
wengi wamekimbilia uganda saizi
wengine wanaishi nje saizi kwa muda

ila mapapa mengine ukiyasikia lazima utetemeke

makonda anacheza tu na anatafuta attention na kick tu.
siyo kwamba namdhihaki hii kazi makonda haiwezi

T.I.D ana effect gani sasa?

list ya mapapa na wauzaji anayo rais mbona hawaguswi?
mbona hawatajwi?

makonda acha kutuletea mzaha bwana.
kick tu unatafuta

kama kikwete alikuwa na list lakini aliogopa
jaji mkuu,dpp nk wapo kimya na wanajua sembuse makonda

aaah akina sepetu,TID ni sababu tu siku za karibuni wasanii wamekuwa na kashfa ya matumizi ya madawa hao wanahojiwa kama wanatumia au laa hayo madawa na wapewe counseling waache

kwa mnaotegemea makubwa hebu zindueni akili bwana
 
Wengine wakitajwa nchi itatikisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…