BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kiongoz ashatajwa aiseeee list mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna list mpya? Imo humu?Kiongoz ashatajwa aiseeee list mpya
Nimeiona na PDF document imekua attached sema naona mods wameitoa hio thread labda wanataka wajihakikishie mana ni official annoucement kutoka kwa wazee wa kazi na kuna muhuri wao pale wako kama 7 sjui ila chbu ndo wa kwwnzaKuna list mpya? Imo humu?
Sio ajiangalie,jux kontau wa sembe siku mingi sana,wanaomjua wanafamu hilo.jux naye ajitafakari mademu zake wote wanahusishwa na madawa...jacky kafungwa na vanessa ndio huyo katajwa....ngoja tuifuatilie hii muvi. ni mwendo wa kununua popcorn tu
Kama uliipakua fanya msaada PMNimeiona na PDF document imekua attached sema naona mods wameitoa hio thread labda wanataka wajihakikishie mana ni official annoucement kutoka kwa wazee wa kazi na kuna muhuri wao pale wako kama 7 sjui ila chbu ndo wa kwwnza
Ipo listi mpya wanatakiwa waende j3 akina Vanessa na wenzakeKuna list mpya? Imo humu?
Mkuu its risky. Wait kidogo.Kama uliipakua fanya msaada PM
Du safiIpo listi mpya wanatakiwa waende j3 akina Vanessa na wenzake
safi mkuuMorogoro kuna mtu anaitwa Baraka (anajiita Barakat) Huyu anasafiri sana nchi kama Pakistan,SA, Italy, n.k KIBIASHARA, na ni rafiki mkubwa wa siWEMA na Remmy Jon. Uhusiano wa siWEMA na Petit unajulikana. Huitaji University degree, kumuelewa AFANDE SELE.
Sanasana Maputo tunapokea wageni kila siku[emoji695]Hao watamfanya nini Mh Makonda zaidi ya kumbilia Msumbiji na SA
Hiyo siyo ya kweli nimeiona piaNimeiona na PDF document imekua attached sema naona mods wameitoa hio thread labda wanataka wajihakikishie mana ni official annoucement kutoka kwa wazee wa kazi na kuna muhuri wao pale wako kama 7 sjui ila chbu ndo wa kwwnza
Akamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.
Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
Wengine wakitajwa nchi itatikisika.wengi wamekimbilia uganda saizi
wengine wanaishi nje saizi wka muda
ila mapapa mengine ukiyasikia lazima utetemeke
makonda anacheza tu na anatafuta attention na kick tu.
siyo kwamba namdhihaki hii kzi makonda haiwezi
T.I.D ana effect gani sasa?
list ya mapapa na wauzaji anayo rais mbona hawaguswi?
mbona hawatajwi?
makonda acha kutuletea mzaha bwana.
kick tu unatafuta
kama kikwete alikuwa na list lakini aliogopa
jaji mkuu,dpp nk wapo kimya na wanajua sembuse makonda
aaah akina sepetu,TID ni sababu tu siku za karibuni wasanii wamekwua na kashfa ya matumizi ya madawa hao wanahojiwa kama wanatumia au laa hayo madawa na wapewe counseling waache
kwa mnaotegemea makubwa hebu zindueni akili bwana