Mnnhhhh....!==??Ridhwani Kikwete je katajwa, au wanasubiri list ya mwezi ujao?
Ipo siku yake. .Ridhwani Kikwete je katajwa, au wanasubiri list ya mwezi ujao?
Qualified.... Get qualified...Unafanya kazi gazeti gani la udaku mkuu?
Maana hizi taarifa nimezoea kuziona ijumaa,uwazi na n.k Acha kusema vitu vya kusadikika
Poooovu [emoji23] [emoji23]WCB is MONEEYY...
haa haaaa haa.....tupo tunapitaga kimya kimya tu sometimesWakongwe wenye JF naona bado mpo
kumbe!!!.....basi his days are numberedSio ajiangalie,jux kontau wa sembe siku mingi sana,wanaomjua wanafamu hilo.
Ukweli Mchungu..wengi wamekimbilia uganda saizi
wengine wanaishi nje saizi kwa muda
ila mapapa mengine ukiyasikia lazima utetemeke
makonda anacheza tu na anatafuta attention na kick tu.
siyo kwamba namdhihaki hii kazi makonda haiwezi
T.I.D ana effect gani sasa?
list ya mapapa na wauzaji anayo rais mbona hawaguswi?
mbona hawatajwi?
makonda acha kutuletea mzaha bwana.
kick tu unatafuta
kama kikwete alikuwa na list lakini aliogopa
jaji mkuu,dpp nk wapo kimya na wanajua sembuse makonda
aaah akina sepetu,TID ni sababu tu siku za karibuni wasanii wamekuwa na kashfa ya matumizi ya madawa hao wanahojiwa kama wanatumia au laa hayo madawa na wapewe counseling waache
kwa mnaotegemea makubwa hebu zindueni akili bwana
Na Makonda hawezi kuwakamata sembuse kuwataja tu...Wengine wakitajwa nchi itatikisika.
Acha habari za vijiweni Rwanda yenye Ukubwa wa Mkoa wa Tabora Unafananisha na Tanzania.Marekani ndio nini?
Mbona Rwanda wameweza...
Tuungane wote kwenye vita hii, inawezekana.
Mbona gram hukaribia Tsh. 200,000Kilo ya dhahabu, huwa ni kati ya 85m and 100m kutegemea na hali ya soko
Hiyo yako ni bei ya Vito vya dhahabu , sio bei ya dhahabuMbona gram hukaribia Tsh. 200,000
motives za makonda katika hii episode yake mpya ni kutafuta attention tu. look at him, he is a joke. hawezi kupata msaada stahiki.Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.
Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.
Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
Una uhakika na ulichokiandika au unaropoka tu nawe uonekane umepost?Akamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.
Wapo wabunge na mawaziri wa CCM wanahusika pia