Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Ridhwani Kikwete je katajwa, au wanasubiri list ya mwezi ujao?
Ipo siku yake. .
IMG-20170121-WA0004.jpg
 
Unafanya kazi gazeti gani la udaku mkuu?
Maana hizi taarifa nimezoea kuziona ijumaa,uwazi na n.k Acha kusema vitu vya kusadikika
Qualified.... Get qualified...

Acha ku Ng'aa macho
.
 
wengi wamekimbilia uganda saizi
wengine wanaishi nje saizi kwa muda

ila mapapa mengine ukiyasikia lazima utetemeke

makonda anacheza tu na anatafuta attention na kick tu.
siyo kwamba namdhihaki hii kazi makonda haiwezi

T.I.D ana effect gani sasa?

list ya mapapa na wauzaji anayo rais mbona hawaguswi?
mbona hawatajwi?

makonda acha kutuletea mzaha bwana.
kick tu unatafuta

kama kikwete alikuwa na list lakini aliogopa
jaji mkuu,dpp nk wapo kimya na wanajua sembuse makonda

aaah akina sepetu,TID ni sababu tu siku za karibuni wasanii wamekuwa na kashfa ya matumizi ya madawa hao wanahojiwa kama wanatumia au laa hayo madawa na wapewe counseling waache

kwa mnaotegemea makubwa hebu zindueni akili bwana
Ukweli Mchungu..
Asante sana Mkuu.
 
Kilo ya dhahabu, huwa ni kati ya 85m and 100m kutegemea na hali ya soko
 
Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.

Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
motives za makonda katika hii episode yake mpya ni kutafuta attention tu. look at him, he is a joke. hawezi kupata msaada stahiki.
 
ila hyo bei nayo inatisha, 1.3b eeeeh hata mimi ningelala jicho wazi
 
Grm 1 ya heroin aka Musharraf aka madevu inauzwa 24000 mpk 25000
Kg 1 ni mln 24 mpk 25mln

Ova
Sijajua Bei ya kg au gm ya dhahabu inauzwa Bei gani kwa sasa ila Mihadarati kama Heroine naona unaizidi Bei dhahabu na ndo maana kukomesha inashindikana hivi kikawaida hapa duniani na Tanzania utafanya kazi gani upate Tsh.1,300,000,000/= bila shaka ni kazi au biashara kubwa sana hasa za Ukandarasi.

Tumsaidie Makonda na Timu yake hakuna awamu ilitaja Hata hao vidagaa at least Makonda amethubutu na anapambana na World's most dangerous network.
 
Akamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.

Wapo wabunge na mawaziri wa CCM wanahusika pia
Una uhakika na ulichokiandika au unaropoka tu nawe uonekane umepost?
 
Back
Top Bottom