Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
 
Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
wanatafta kiki kivipi wewe mtanzania- itabidi na wewe uitwe polisi ukajieleze mambo haya maana inaonekana una taarifa nzuri. endelea kubeza juhudi za serikali huku ukitumia ID fake ukidhani umejificha.
 
Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
Durtete Nae Anatafuta KIKI[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi binafsi naona ni bora kwa wale wote wenye utaalamu na kufahamu wahusika wangeenda kwa Mheshimiwa Makonda ili wampatie hayo majina, pia ikiwezekana watoe mbinu mbadala za kutokomeza ama kuzuia hili tatizo kwenye nchi yetu.

Sisi zote ni watanzania na nafikiri milango ya ofisi ya mkuu wa mkoa ipo wazi kwa mzalendo yeyote kujitokeza kutoa mbinu mbadala namna ya kuzuia ama kupunguza hili tatizo la dawa za kulevya. Ni maoni yangu tu.
 
umesema vizuri
 
Bahati nzuri watumiaji wa hayo madawa ni watu wazima na akili zao timamu.
 
Bora maana hali ilikuwa tete mtaani dogo tuu unasukia naye anavuta...
 
Sijaelewa ujue!!! Au sioni vizuri
 
Wanaharakat wa kisiasa mbona hatuwaon kwenye huu uzi...ama na nyie n wauza unga..? Poor tanzania
 
 
Nalia kwa uchungu mno.

Wema kweli jamani, kwanini unafanya hivi?Au umebabikiziwa tu?

Mm siamini kabisa, kuna mtu analeta bifu na ww.

kumbula vzr huko nyuma.

kuna kitu
 
Mmh, kumbuka vizuri huko nyumaπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰.. Hata wewe umewahi kuona huko nyuma😑😑
 
Leo Episode 2 Kisutu,Njooni kwa Wingi,Pia tutaweka askari kanzu wa kutosha tuwanase na wengine ambao hatujawapata.
Tusaidieni,wema kwa kosa lake la bangi afungwe miaka miwili tu,akitoka kanyooka na atakuwa na heshma,ila bado atakuwa na Miaka 28(maana tangu mwaka 2008 anamiaka hiyo)haiongezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…