Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

wewe sio mtu mzuri, badala ya kusema nini kifanyike kutokomeza madawa, wewe unabeza juhudi na kujiapiza kwamba mapambano dhidi ya dawa hayawezi kuisha.... sasa wewe ulitaka nini kifanyike--- na ni kina nani hao waliozuia na fbi kuingia marekani-- wataje hapa... watu kama wewe ni tatizo tanzania, kazi yenu kubeza tu juhudi za serikali. shame on u
Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
 
Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
wanatafta kiki kivipi wewe mtanzania- itabidi na wewe uitwe polisi ukajieleze mambo haya maana inaonekana una taarifa nzuri. endelea kubeza juhudi za serikali huku ukitumia ID fake ukidhani umejificha.
 
Ha ha haa.

Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
Durtete Nae Anatafuta KIKI[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi binafsi naona ni bora kwa wale wote wenye utaalamu na kufahamu wahusika wangeenda kwa Mheshimiwa Makonda ili wampatie hayo majina, pia ikiwezekana watoe mbinu mbadala za kutokomeza ama kuzuia hili tatizo kwenye nchi yetu.

Sisi zote ni watanzania na nafikiri milango ya ofisi ya mkuu wa mkoa ipo wazi kwa mzalendo yeyote kujitokeza kutoa mbinu mbadala namna ya kuzuia ama kupunguza hili tatizo la dawa za kulevya. Ni maoni yangu tu.
 
umesema vizuri
 
Bahati nzuri watumiaji wa hayo madawa ni watu wazima na akili zao timamu.
 
Unaongea nini wewe,chonji yuko jela na bado anaendeleza biashara zake uraiani kama kawa,nguvu waliyonayo wauza ngada bongo ni kubwa kuliko unavyofikiria,alishindwa raisi aliepita na huyu wa sasa pia atafeli tu,kesi ya tumbili ukimpa ngedere ahukumu unadhani outcome itakuaje?.
Sijaelewa ujue!!! Au sioni vizuri
 
IDD AZZAN alitajwa hapa jf pamoja na juma pinto ila sijawaona kwenye hiyo list
images
karibu
 
Wanaharakat wa kisiasa mbona hatuwaon kwenye huu uzi...ama na nyie n wauza unga..? Poor tanzania
 
Makonda amefanya kitu kikubwa ila siamini kama hii vita anaiweza.
Kama matamko yake yale madogo ameshindwa, sijui hili kubwa kama ataliweza.
Yeye pekee haliwezi hili bali linataka sapoti kubwa kuanzia kwa Mh. Raisi.
Muda utaamua na Tutapata majibu.
Ninamtakia mafanikio mema katika vitu hii kwani imeligharimu taifa kwa muda mrefu sana.
 
Nalia kwa uchungu mno.

Wema kweli jamani, kwanini unafanya hivi?Au umebabikiziwa tu?

Mm siamini kabisa, kuna mtu analeta bifu na ww.

kumbula vzr huko nyuma.

kuna kitu
 
Mmh, kumbuka vizuri huko nyuma😉😉😉.. Hata wewe umewahi kuona huko nyuma😡😡
 
Leo Episode 2 Kisutu,Njooni kwa Wingi,Pia tutaweka askari kanzu wa kutosha tuwanase na wengine ambao hatujawapata.
Tusaidieni,wema kwa kosa lake la bangi afungwe miaka miwili tu,akitoka kanyooka na atakuwa na heshma,ila bado atakuwa na Miaka 28(maana tangu mwaka 2008 anamiaka hiyo)haiongezeki
 
Back
Top Bottom