donata fredy
Member
- Jul 22, 2016
- 45
- 84
Ha ha haa.wewe sio mtu mzuri, badala ya kusema nini kifanyike kutokomeza madawa, wewe unabeza juhudi na kujiapiza kwamba mapambano dhidi ya dawa hayawezi kuisha.... sasa wewe ulitaka nini kifanyike--- na ni kina nani hao waliozuia na fbi kuingia marekani-- wataje hapa... watu kama wewe ni tatizo tanzania, kazi yenu kubeza tu juhudi za serikali. shame on u
Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu