Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Nikosa kubwa kuwataja watuhumiwa ktk Radio ambayo sio ya Taifa maana hata kma kituo hicho kinajihusisha pia au kinawafanyakazi wanajihusisha inakua ni mbaya kwani watazidi kujiakikishia kuwa wapo Salama na hawakamatiki
zimejaa siasa ndo maana hata wangesoma wao ujumbe ungekawia kufika kwani wengi walishaziweka kando
 
Hii inaitwa nitoke vipi ya makonda. Hakuna kitakachotokea, Makonda ni mzee wa maigizo, hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu kupitia hao wasanii. Mkuu wa mkoa badala ya kuchukua hatua, una kazi ya kubwabwaja kwenye media(clouds)
Inaeza kua kiki eti,ngoja tuone!.
 
Hiyo list angetajwa mtu mmoja hiv misifa umu ndani pangewaka moto ana bahati yakr
 
Hao ni washukiwa,no proof hata wakiwa-expose wanaeza wawe wamehusika kweli au akuna.
Ndo hivyo hivyo tumeelewa kuwa si wahusika bali ni washukiwa, ila tunataka tuone list nzima page imemiss mleta mada hajatutendea haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…