Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu jamaa nilikua namheshimu asee na kama ni kweli,ntamuona boya!.watu wake wa karibu mwambieni.Petiman Wakuache ameshakamatwa yupo ndani
Huo ndio mnyororo tunataka, hata akiwa anapata kwa mtu wa nne, akionyeshwa kazi huyo mtu wa nne atataja mtu wa tatu, akionyeshwa kazi mtu wa tatu atataja mtu wa pili kwa vyovyote vile.. Katika hili lazima ukatili wa hali ya juu utumike kama itakavyohitajika!Unaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
Hili niliwaza sana mkuu,wangewakusanya wavutaji wangesema akiwemo Q ChillahMbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
Dada yangu Nifah hujaisikia kwa sababu mawingu FM siyo chaguo lako.Duuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Yani iwe anachukulia mzigo kwa mtu hata wa kumi au ishirini,kumpata mkuu wa mzigo bado ni rahisi tu..ni uamuzi tu!Mkuu wa mzigo kumpata ni kazi asee,ukute chid anachukulia kwa recho,msambazaji!.ila ao polisi wapigwe lifeban kabisa.Nawaza tu.
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda.
Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza madawa ya kulevya
Huku wasanii watumiaji wa madawa hayo wakitajwa na kutakiwa kuripoti polisi wenyewe mapema ,
wasanii waliotajwa na kutakiwa kuripoti polisi ni
1. Wema sepetu
2. Petiman wakuache
3. TID
4. Mr. Blue
5.Recho(kizunguzungu)
SOURCE; Clouds FM (Informer)
list ya mange haina vidagaa km hao ina wale mapapa wenyweHii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.