Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

hii ligi ni ngumu sidhani kma ataweza kupambana
 
Mwenge..kituo cha itv kuna bar inaitwa Maryland. Sasa nyuma ya Maryland bar..mtaa wa kwanza kushoto..hapo ndiyo kitivo cha mateja dar es salaam.

Kuna jamaa mmoja white hivi anavaa Sana pensi..huyo ndiyo pusha wao hapo tangu Mimi nasoma Mwenge primary .
 
Nikosa kubwa kuwataja watuhumiwa ktk Radio ambayo sio ya Taifa maana hata kma kituo hicho kinajihusisha pia au kinawafanyakazi wanajihusisha inakua ni mbaya kwani watazidi kujiakikishia kuwa wapo Salama na hawakamatiki
 
Hii nimeipenda, na ndio njia pekee tutafika, tutoleane aibu, tuondoe urafiki na kujuana.

Vipi chid benzi, vipi na hawa wengine ambao inasemekena ni wauzaji nguli. ?
Chidi Benz na Ray C
Ni wagonjwa awahusiki
 
Back
Top Bottom