Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwia unga hata uweke bomba kichwani hataji pusher aisee ,wale kama wanakula kiapo fulani.Mbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo hakuna mapenzi MUBASHARA kabisa clouds?[emoji15]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.
MkuuDuuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
Ile list ya mange hatoigusa nahisi.....Hii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.
Chidi Benz na Ray CHii nimeipenda, na ndio njia pekee tutafika, tutoleane aibu, tuondoe urafiki na kujuana.
Vipi chid benzi, vipi na hawa wengine ambao inasemekena ni wauzaji nguli. ?
Hahaha.hii ligi ni ngumu sidhani kma ataweza kupambana
Kumbe urafiki wa Wema Sepetu na Petiman wakuache ndo unaunganishwa na hizi shughuli
Dooh!.una beef nae nini?Mwenge..kituo cha itv kuna bar inaitwa Maryland. Sasa nyuma ya Maryland bar..mtaa wa kwanza kushoto..hapo ndiyo kitivo cha mateja dar es salaam.
Kuna jamaa mmoja white hivi anavaa Sana pensi..huyo ndiyo pusha wao hapo tangu Mimi nasoma Mwenge primary .