BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Byser alikuwa ameshaanza kuwa gentle man fulani ivHapo namuhurumia Kabyser tu
Kwa majina hayaDuuu
Kumbe!Wewe unafikiri wauza unga hawajulikani? wanajulikana sana, tatizo wanaogopeka hatari.
Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.Mbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
Mwigulu pamoja na kutembea na bendera ya taifa ameshindwa kuonesha uzalendo wake katika kupambana na hili janga..angalau hata Makonda ameweza kutaja badhi!Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
Kivipi mkuuNimekaa natafakari UHAI wa "lais wa dalesalama" ulivyo mashakani kwa hiki kitu alichoamua kudili nacho.
Huo "mtandao" si watu wa spoti spoti.Kivipi mkuu
List imeshiba nafikiri ni mwanzo mzuri wa kuondoa biashara hii Tanzania
pitia list iyo
Pale angekuepo majizo kweli ungeona furaha ya mangeNamchungulia tu sioni akisema chochote.
Kwa kweli lais kajiweka mashakani ananikumbusha Amina Chifupa (RIP).Nimekaa natafakari UHAI wa "lais wa dalesalama" ulivyo mashakani kwa hiki kitu alichoamua kudili nacho.
Aah wapiiiiWema kila siku anasema ana ujio mpya mwaka huu,naona kumbe jela ilikua inamuita,namtakia maisha mema ya ujio mpya,kweli mwaka 2017 mwaka wa wema sepetu