Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

IDD AZZAN alitajwa hapa jf pamoja na juma pinto ila sijawaona kwenye hiyo list
 
Mbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??

Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
 
duuh! hii naona inaweza ikamharibia Wema Sepetu kisiasa kwa kutiania yake ya kugombea ubunge jimbo la singida mashariki 2020, na kumuangusha Tundu Lissu
 
Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
Mwigulu pamoja na kutembea na bendera ya taifa ameshindwa kuonesha uzalendo wake katika kupambana na hili janga..angalau hata Makonda ameweza kutaja badhi!

Kweli uzalendo sio kutembea na bendera!
 
0019a94088f2f61f25e129d3af72e7e4.jpg

pitia list iyo
List imeshiba nafikiri ni mwanzo mzuri wa kuondoa biashara hii Tanzania
 
Wema kila siku anasema ana ujio mpya mwaka huu,naona kumbe jela ilikua inamuita,namtakia maisha mema ya ujio mpya,kweli mwaka 2017 mwaka wa wema sepetu
Aah wapiiii
Tz sweetheart hawezi kuguswa
kesi inayeyuka...kitu rahisi si anakana tu situmii mambo yanaisha.
Wema mwenye Nyota zake 5
 
Back
Top Bottom