Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Watanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..

Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
 
Usiogope wema atamtaja tu salaah kama anaucka
Hana ujasiri huo mkuu, trust me hii kitu imekaa kisiasa sana,
Hv issue ya kiserikali tena katika kesi ya madai unaweza kumuita mtu kwa jina la mtaani? etii TID aje kituoni akikataa hilo si jina lake watamfanyaje?
issue sensitive kama hii imeshasambaa nchi nzima je wahusika wakisepa leo usiku tutajua kuwa kesho watahitajika polisi???
 
Wanacheza tu na akili za waTz.
Ina maana hao maaskali wameshindwa kuwataja watu wanaowasaidia?? Ina maana intel imeshindwa kutuletea mapapa ina leta hawa kajamba nani??

Hizi ni kiki zisizokua na tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…