nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Hiyo ni ya aina gani nduguKilo ya dhahabu, huwa ni kati ya 85m and 100m kutegemea na hali ya soko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni ya aina gani nduguKilo ya dhahabu, huwa ni kati ya 85m and 100m kutegemea na hali ya soko
Akili kama zako hizi hata angeanza na hao unaowaita mapapa ungelaumu tu.wengi wamekimbilia uganda saizi
wengine wanaishi nje saizi kwa muda
ila mapapa mengine ukiyasikia lazima utetemeke
makonda anacheza tu na anatafuta attention na kick tu.
siyo kwamba namdhihaki hii kazi makonda haiwezi
T.I.D ana effect gani sasa?
list ya mapapa na wauzaji anayo rais mbona hawaguswi?
mbona hawatajwi?
makonda acha kutuletea mzaha bwana.
kick tu unatafuta
kama kikwete alikuwa na list lakini aliogopa
jaji mkuu,dpp nk wapo kimya na wanajua sembuse makonda
aaah akina sepetu,TID ni sababu tu siku za karibuni wasanii wamekuwa na kashfa ya matumizi ya madawa hao wanahojiwa kama wanatumia au laa hayo madawa na wapewe counseling waache
kwa mnaotegemea makubwa hebu zindueni akili bwana
Aisee!...pesa ipo si mchezoKg 1 Heroin 55m na Cocain 65m.
Wrong [HASHTAG]#data[/HASHTAG] to the wrong [HASHTAG]#person[/HASHTAG]Qualified.... Get qualified...
Acha ku Ng'aa macho
.
Mama mwenye nyumba [emoji8]shhhiiiddaaaaaa
VanethaJux + jack=?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nambiee ....Mama mwenye nyumba [emoji8]
Missing u deadly[emoji3] [emoji3] [emoji3] nambiee ....
thank uuuuMissing u deadly
Ua welcomethank uuuu
nsharakibiaaa...Ua welcome
wewe sio mtu mzuri, badala ya kusema nini kifanyike kutokomeza madawa, wewe unabeza juhudi na kujiapiza kwamba mapambano dhidi ya dawa hayawezi kuisha.... sasa wewe ulitaka nini kifanyike--- na ni kina nani hao waliozuia na fbi kuingia marekani-- wataje hapa... watu kama wewe ni tatizo tanzania, kazi yenu kubeza tu juhudi za serikali. shame on uAlikamatwa mtu mmoja anaitwa Shkuba, huyu alikuwa bwana unga ambaye hata FBI walimfahamu. Na alipokamatwa alikabidhiwa haraka kwa FBI. Ilikuwa vita kati ya Polisi dhidi ya Polisi. Ni tukio la mwaka mmoja tu uliopita.
Unaweza kusema hiyo ilikuwa hatua kubwa kwa kikosi kazi kilichoongozwa na kamanda mstaafu Nzowa. Lakini kazi ilikuwa bado sana.
Wapo watu wamezuiliwa kungia katika ardhi ya Marekani kwa kuhusishwa na biashara haramu ya dawa za kulevya. Majina yao hayakutajwa na mtu yeyote na hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuthubutu kuwataja ndani ya ardhi ya Tz. Kikwete hakuwataja, Magufuli hatawataja. Hakuna wa kuwataja.
Vita hii inahitaji akili nyingi kuliko tulizonazo sio lopolopo za kisiasa.
Wema, Chid benz ambaye sasa hv amekuwa Chid paso, Babuu wa kitaa nk! hawa ni Mules tu! Hawa ni wanapunda tu wanaotumiwa na watu. Ukute wanaowatumia hawa, na wenyewe wanatumiwa vilevile. Na unaweza kutumiwa na mtu usiyemjua vilevile. Huhitaji sana kuwahoji hawa kwa sababu ni 'Mules' wanaotumiwa na 'Mules'. Wapo watu huko magerezani na vichochoroni wana taarifa za biashara ya dawa za kulevya kuliko vyombo vya intelijensia. Ukiwapata hawa utapata taarifa ambazo bila shaka, utakaa nazo mwenyewe. Hutathubutu kunyanyua kinywa chako. Vita dhidi ya dawa ya kulevya inapiganwa kimya kimya, ukinyanyua kinywa chako basi iwe ni kuelimisha jamii kuhusu madhara na mabaya ya biashara hii, lakini 'The batle' should be silence. Ukikurupuka hautafanikiwa kwa sababu wana nguvu ya pesa na madaraka, wana akili, ni wajanja na wajuvi wa mambo kuliko wengi wetu. Wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wetu. Na mtandao wao ni wa kidunia, unahitaji jeshi kupambana na hawa watu, na unaweza kukuta ndani ya jeshi wamo vilevile.