Jamani please wana JF mgeukieni Mungu hizi ni siku za mwisho,mi nawatangazia tu kama mtumishi wa Mungu ila mtayakumbuka maneno yangu siku mkiwa mnaswangwa kwenda motoni
Alisema anataka kuolewa mbona kimyaaaaaaa!!!!!ili wachawi tufweee na lipstic je zishakuja????
Ahahaha ahahah sijawahi kuvunjwa mbavu kiasi hiki, Dinazarde Madam B geniveros Mrembo by Nature nifah ebu piten uku mumuone mtumishi wa bwana
Sasa uyu kweli dah?Hivi Wema hadi sasa hajui kwanini Ivan anamtaka hadi ajifanye kua ana wasiwasi na Ivan. Kwani Ivan siku zote alikua hamuoni ama?Kweli kuna wanawake kuwapata rahis aiseee
wema ni malaya.....full stop
Jamani please wana JF mgeukieni Mungu hizi ni siku za mwisho,mi nawatangazia tu kama mtumishi wa Mungu ila mtayakumbuka maneno yangu siku mkiwa mnaswangwa kwenda motoni
Hivi wema kasoma mpaka darasa la ngapi jamani?
Hivi unapomwita wema malaya una ushahidi au mradi umesema au alitembea na baba ako mzazi
Acha mahaba ya ajabu kwa si ukweli kuwa Wema ni malaya? Hapo alipo ana list ya midume kibao iliyokwisha mkaza achilia mbali isiyokuwa na majina. Kumbe tafasiri ya umalaya kwako mpaka aliyetembea na wewe au mzazi wako?
Tena form four yenyewe failure
Acha mahaba ya ajabu kwa si ukweli kuwa Wema ni malaya? Hapo alipo ana list ya midume kibao iliyokwisha mkaza achilia mbali isiyokuwa na majina. Kumbe tafasiri ya umalaya kwako mpaka aliyetembea na wewe au mzazi wako?
Ahahahaha ahahaha makavu live...labda tafsiri ya malaya kwake ni mpaka mtu atembee wa wazazi wake ahahahaha