Wema sepetu: Mume wa zari anataka "KUNIOA"

Aisee yaani kumbe inauma eeh! Zari kamchukua Diamond platnumz mpenzi wa Wema Sepetu, Wema naye kajibu mapigo kwa mume wa Zari!

Sasa Zari analalamiiiika! Why? Yaani analalamika aisee! Ni shida! Kumbe mkuki kwa nguruwe poa tu ila kwa binadamu mchungu!

Ntaiweka audio jinsi Zari the boss lady anavyolalamika alipohojiwa na chombo maarufu cha habari nchini Uganda!
 
kwanini hujaweka pamoja na post yako???
 
Wewe sio mshabiki wa diamond platnumz ungekuwa unamuelewa usingemtusi kiivyo bhana kusema domo post yako haina maana weka pembeni pia taarifa zako za kugushi hazina ukweli huo ni umbea yanakushindaje kufuatilia maisha yako na mpenzi wako get care to your life,don't take famous from others life.Inaonesha unaingilia fan za uandish wa habari
 
Ndo wanavyomwita wengine, kama imekukwaza nafuta kauli.
 
hawezii kuumia bosslady yule!! afu mume wa zarii atoka na starlisha siyo wema umbeaaa kaazii
 
Haki ya Mungu..Wema ma.laya wa kutupa...mashimo yote yako wazi....anauza mwili wote....nyoookooo...aibu bluuu...!!"👌👌👌
 

Ivan ni ex huz wa zari...na dai ni ex wa wema tena sio mume ni ex boyfriend!!!
dai kachukuliwa???ye ni mzigo??
sa revenge za nini wakati alimuacha akaenda kwa Mr. BMW???
 
mh binamu huyo kaka jamani si nasikia anatoka na starlisha aka chagababie sijui

lol wanatoka wote kwa kuandikiaana komenti kwenye instagram au kurusha picha ya mtu anaye follow hapo labda. ataonja wapenda pesa wote wasichana waki Tanzania.

chagga hana paper za kutoka marekani hadi sasa kwa hiyo labda Ivan apite ma kilomita yoteee kwenda huko lol atamuona akiwa na trip ya huko maana chaga hapitwi ila sio kumtembelea tu msafari wote.
 
Ila Wema na timu yake, wanatamaa na wivu mbaya

sasa makaamanda wake huyo dgi na mzaa wa mzungu wote wamaingia kutaka kuwa mameneja wa Diam,ond, wanamshauri kila kukicha utadhani waimbaji wote duniaiuimba weeeeeeeeeeee hadi wanaingia kaburini bila kuwa na business mbali mbali kuingiza pesa.

yaani wamenimaliza kwa mshangao wanamtamani Chiu wanajua hao timu Wema bila Chibu na Zari wao hawana story...

kuuza nguo kwa dhl kumekufa sasa kutafuta umeneja kwa kushauri wanamziki...cha kushangaza only Diamond kwani Tanzania ni yeye tu?

HONGERA CHIBU UPO JUUUUUUU, UNAWAPELEKESHA WATU WEEEEEE

KILA MTU ANATAKA KUWA MENEJA WAKO...

WANAJUA WEMA NI HANA KITU N+DIO +MAANA HAWAMSEMI KUMTAKA WANATAKA WEWE MWENYE AKILI

WANAMDHARIRISHA WANAKUTAMANI WANAJUTA Y HAWAKUKUJUA KWANZA....MPE HI ZARI/
 
Alisema anataka kuolewa mbona kimyaaaaaaa!!!!!ili wachawi tufweee na lipstic je zishakuja????

tena hii aliisema mwenyewe kwa kinywa chake, sio zile za chanzo cha habari hakikutaka jina lake liandikwe gazetini, kama namuona na kale kasauti kake ka maigizo akimnongoneza martin '' mwenzako nataka kuolewaaaa'' i was like oukey! hivi wanaume siku hizi wamekuwa kama nazi vile unaamka zako unaenda sokoni kununua au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…