kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Aisee yaani kumbe inauma eeh! Zari kamchukua Diamond platnumz mpenzi wa Wema Sepetu, Wema naye kajibu mapigo kwa mume wa Zari!
Sasa Zari analalamiiiika! Why? Yaani analalamika aisee! Ni shida! Kumbe mkuki kwa nguruwe poa tu ila kwa binadamu mchungu!
Ntaiweka audio jinsi Zari the boss lady anavyolalamika alipohojiwa na chombo maarufu cha habari nchini Uganda!