100% kabisa
Leta ushahidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% kabisa
Hivi unapomwita wema malaya una ushahidi au mradi umesema au alitembea na baba ako mzazi
Jamani please wana JF mgeukieni Mungu hizi ni siku za mwisho,mi nawatangazia tu kama mtumishi wa Mungu ila mtayakumbuka maneno yangu siku mkiwa mnaswangwa kwenda motoni
Dinazarde nimechefula leo, si niliona tangazo kuwa jf ipo kwa instagram now wacha nikimbie nika wa follow? Kufika kule hakuna ata umbea kama uku mi nikawa unfollow hamna ata udaku, nkajua ntakuta vichambo kama vya dogie masta nfyuuu
Malaya first class usa binamu
mtumishi wa mungu upo vizuri naona na ganjaa juu na ndo maana hata post haiendani na yaliyomojamani please wana jf mgeukieni mungu hizi ni siku za mwisho,mi nawatangazia tu kama mtumishi wa mungu ila mtayakumbuka maneno yangu siku mkiwa mnaswangwa kwenda motoni
Anachezea maisha Wema Huyu .kwani ni mgeni wa mwanaume.Itakuwa yeye ndio tatizo .Anataka kukuoa au wewe ndo unataka akuoe?? Huyu kwa kupenda makubwa? Mwenzieo kazaa nae vidume vitatu kwa huo urithi wote uko kwa watoto na mama yao wewe sahau, labda tu utobolewe uachwe