FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhagosha,
Me nadhani tunge mchagua Abdull Mshindi wa Maisha Plus na kwajinsi navyo mfahamu na watanzania wanavyo mfahamu ni lazima angepata kura nyingi sana na lazima angechukua izo Dolla bila ubishi.
Tatizo hapa ni wale wanao wachagua hao wawakirishi wetu me nawawekea alama ya kuuliza na lazi huwa kuna vijambozii sana, Hebu ifika wakati sasa tuache kufiri kuwa Dar is everything na ndilo tataizo kubwa kwa upande wa pili mikoa mingine kuuendelea ya take time sana, Ukiamka tu kila kitu Dar jamani hebu tubadirishe mwelekeo hata sisi watanzania nao hatuoni alama za nyakati tusifikie wakati wakudhania kuwa Dar ndio watoao watu maarufu hapa nchi. Tubadilike mwelekeo. Mfano ni Maisha plus, Kisura hebu angalieni mliona washindi toka Dar?? Jamani khaaa......
ni ngumu kuamini hii habari....ni mwakilishi kwa maana atashirikiana na waandaaji wa BBA kuangalia mambo kama yanakwenda vizuri, ama ni mshiriki kwa maana anaenda kuishi ndani ya jumba.?Haya wale waliosema BBA HAKUNA MADEMU tz IMEMPATA Wema sepetu ndie mwakilishi wake katika BBA mwaka huu,haya kazi kwenu,wametupatia balozi tayari!!humo ndani mmhh!!tumpigie kura za ndio!!
Hivi huyu kimatumbi kinapanda?
Huyu bint lugha ya kigeni anaweza,kwani alipokwenda Malyasia shule alikuwa anaongea Lugha gani?,Hope hataharib
Lakini wapo wengvi tu kama yeye, tunaweza kuwa tumeruka maji na kuangukia kwenye matopeDu afadhali umetusaidia kuondoa presha!!! Ni aibu tupu kumpeleka binti huyu WEMMA. Anahitaji sana kuwa-rehabilitated!!! Alijiharibia maisha mapema mno!! Sorry for her!!!
Huyu bint lugha ya kigeni anaweza,kwani alipokwenda Malyasia shule alikuwa anaongea Lugha gani?,Hope hataharibu!!!!