Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
Kiingereza watanzania mtafurahi mwana anaongea fasaha, tatizo patashika chupi kuchanika.KAzi kwenda kugawa *****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza watanzania mtafurahi mwana anaongea fasaha, tatizo patashika chupi kuchanika.KAzi kwenda kugawa *****
Sasa wakuu mimi naomba ufafanuzi hapo. Kwenye zile filamu ambazo ameigiza na wa Nigeria na nasikia kuna nyingine ameigiza na wamarekani amefanyaje? au ni mambo ya kumeza maneno ( kukariri)?Jamani kwa yaliyotokea jana kwa Kanumba kushindwa hata kuelewa maswali ya kiingereza, ni bora tuwachukue tu hao vijana/mabinti wa Masaki, Oysterbay bin Mbezi Beach kama sio Upanga. Duuuuhhh...!!! That aibu, I don't wish kuipata as Mtanzania anymore. Ya jana inatosha...!!!
Tusilete u-mkoa hapa, leteni watu wanajua ngeli, wana-exposure ya kutosha, that's what we need kwa mwakilishi wa nchi yetu kwenye BBA. Hakuna Taasisi ya Kiswahili kule, huwezi ongea lugha yako mle ndani, you have to be an entertainer, watu hawaangalii sura au umetoka wapi, wanaangalia how you entertain them na hata IQ + exposure yako. Sasa unamtoa mtu kama Kanumba ambaye even a single word like "strategy" linampa shida na kuishia kudai kuwa ni complex word...!!!...!! Then ndio ulete mtu katoka huko Bush anajua kilugha chao na kiswahili, kiingereza cha kuunga....!!!
Let's be realistic..!!!
Suala hapa juu ya Wema siyo ngeli au nini, ni watanzania kutokuwa na mvuto na Wema na kama itakuwa yeye ndo mshiriki ni rahisi sana kuaga mapemaa!!
tambala la deki laingia BBA.
kila mtu atalitumia na kuliacha juani
mbona mnamchambua sana mrembo wa watu jamani, awe hivi vile ni maisha yake,na nyie mna mangapi muyafanyayo, mbona mwajiona wema sana?
Hii sidhani kama itawabadilisha mitazamo watanzania walio wengi;binafsi siamini kama Wema Sepetu ndiyo anaingia katika jumba au Elizabeth Gupta(Liz)!Nahsangaa watu yao hawayasemi kazi kusema ya wema, ukute wana machafu kuliko hayo
halafu watu wengine wanatoa tu coment kabla hawajasoma coment za watu wengine anashidwa hata kujua nini kimeongelewa na watu wengine.
tambala la deki laingia BBA.
kila mtu atalitumia na kuliacha juani
Walisema kupotea njia ndiko kujua njia; nadhani katika hii miezi mitatu aliyotulia kwa mama yake amejifunza sana kuhusu dunia kuliko huko nyuma kwa vile alishaonja machungu yake na mama yake pia alishagundua alikokosea katika kumlea bintiye kiasi kuwa hakutaka kurudia makosa yale. Msishangae kuwa anaweza akawa mshindani wa maana sana kule huku akiwa anatoa mafunzo makubwa sana kwa vijana wengine na kuibuka kuwa mshindi hasa ukizingatia mvuto wa haiba yake; don't prejudge her.
sina uhakika kama wema kachaguliwa kutuwakilisha au lah. lakini........Acha kuongea pumba, who are you to judge her? au kwa vile yeye ni star wa bongo so hata kidogo anachofanya kinakuzwa! who knows what you ARE, doing, only that we dont know you and so we dont pay attention, yawezekana ufanyayo wewe ni mabaya zaidi na hayasemekani. acheni kuwq wepesi wa kujudge watu wengine, get life and mind your own business kuliko kuja kutukana mtoto wa mwenzio hivi, do you know what your sister or your brother does?
hivi Agika! unafikiri kumuhukumu huyo mtoto wa watu au kumuanika mambo yake kwa watu ndio kumsaidia? fikiria kama angekuwa mwanao au mtoto wako,ungemuhukumu kwa jinsi hiyo? kama una nia ya kumsahihisha kwa jinsi hiyo,unadhani hiyo ndio njia muafaka?.Jaribu kufikiria kuwa huyo ni binadamu na huwezi jua chanzo cha hayo matatizo yanayomfanya awe hivyo alivyo.Na inawezekana hizo hukumu anazoendelea kuzipata ndio zinazidi kumkatisha tamaa na kuharibikiwa zaidi.Tusikimbilie kuhukumu kila kitu,tuwe watu wa kusaidia jamii kwa njia mbadala zaidi ya matangazo kama hayo ya kejeli na tutapata thawabu.sina uhakika kama wema kachaguliwa kutuwakilisha au lah. lakini........
simhukumu wema wala mwingine yeyote kwasababu nitakuwa naingilia kazi ya Muumba, lakini ukweli unabaki palepale kama ukitaka kuwa mwakilishi wa tanzania kwenye jukwaa lolote iwe umiss, kimuziki ,kisaniiii au kivingine vyovyote unatakiwa uwe na uhakika kama utaweza kuimudu kofia hiyo kwasababu siyo lelemama, sasa hapa watu wanavyomuhukumu wema sepetu kutokana skendo zake usiwalaumu kwasababu alitaka mwenyewe kuwa mwakilishi wa watanzania na lazima awe mfano wa kuigwa kwa mazuri , na ikiwa vinginevyo watanzania watamhukumu kwasababu anatuwakilisha sisi. SO NI JUKUMU LAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KWASABABU ALITAKA MWENYEWE HAYO MAJUKUMU. mimi na wewe tusiyeyataka ndo maana tunabaki kuwa nyuma ya pazia hatujulikani na yeyote na hata nikiwa mchafu vipi watajali wale tu walio kwenye ile jamii inayotuzunguka na sio tanzania nzima, kwasababu kama mwanajamii na wewe unajukumu hilo, mbona Raisi wetu tunamkosoa akikosea ?na hapa tunampaga majina zaidi ya elfu moja ya kejeli? huyo wema asikosolewe kwanini? no body will leave her alone, kayavulia maji nguo ayaoge hayooo...
Asiende na kugawa URODA kama pipi..maana yule mtoto ana mashetani wa hayo mambo
Na sasa wewe unachekesha! Hutaki tupate mashemeji wa kiume kutoka huko ughaibuni? Ee, acha "tuolewe"!!BALAA HILI JAMA....
Mi mwaka huu sina mpango wa kufuatilia hili shindano maana stimu zimekatika ghafla!!! Kwa nini Nchi zingine ziwakilishwe na vidume viwili afu Tz tuwapelekee demu??? aaagggghhhhhhhhh..........!!!!!!!!!!