Wema Sepetu na lugha picha

Wema Sepetu na lugha picha

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Hivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu.

Embu mtazame wema hapa then useme tu chochote unachokiokota kwenye picha hii,huyu jamaa alifurahishwa na alikuwa tayar kwa wema kumgusa japo hata kwenye paji lake la uso? Au wema alitaka tu tujue yuko na mtu maarfu zaid ya diamon ?
 

Attachments

  • 1419224394031.jpg
    1419224394031.jpg
    27.8 KB · Views: 3,237
Mkuu unachokifanya hapa ndicho hicho unachokiponda kwa wengineo...

Maisha ya hawa wanaojiita wasanii yamejawa na usanii pia hivyo usishangae sana...
 
Kuachwa kuachwaaaaa
Ni shughuli pevuuu....

Jamaa alivyokunja sura.....yawezekana kuna kismell cha kukera kinatoka kwa wema.
 
Hivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu,.
Embu mtazame wema hapa then useme tu chochote unachokiokota kwenye picha hii,huyu jamaa alifurahishwa na alikuwa tayar kwa wema kumgusa japo hata kwenye paji lake la uso? Au wema alitaka tu tujue yuko na mtu maarfu zaid ya diamon?
hiyo picha ipo kwenye movie yao
 
mimi ninamuona Wema kama vile hajielewi yaani ana miaka 26 tu lakini amekuwa used sana angekuwa mjanja angejituliza kwa njemba moja aanzishe maisha lakini haya maisha ya ku-act yatamkost
 
Haya ndo maisha ya wema kuforce penzi baada ya kuachwa bnaaaa
 
Tupunguze chuki binafsi, hapo ni Ghana na huyo jamaa ni Mghana na hiyo ni movie wanatengeza.

Huwez kuimba wimbo usioujua wala kukumbuka kitu ambacho hujawahi kukiona,what is a movie?,wanayoigiza yako mbinguni au ni maisha haris?,najua sana and hv not posted it by mistake,i knw the msg behid the scene and thus to why saying "wema na lugha ya picha"....
 
hawa bongo movies wa kike kwao mafanikio ni kumegwa na vigogo au watu maarufu,kumegwa na kigogo hapo ndo kutimiza dreams
 
Wewe siyo size yangu subiri wajinga wenzako ndio. mbishane.

Alafu kumbe umenitukana ati me mjinga nisbr wajinga wenzangu hv wew namm nan mjinga?.ua ww ndo wema?,kama sio bas mute.vingnevyo kuwa yye
 
Ss hyoo movie na ww ushatunga story

But title inasema wema na lugha za picha,na hio mnaisema ni kosa kuiita picha?...hio ni lugha ya picha sbrini mtajua nataka kusema nn,just hold on guys
 
Back
Top Bottom