Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Hivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu.
Embu mtazame wema hapa then useme tu chochote unachokiokota kwenye picha hii,huyu jamaa alifurahishwa na alikuwa tayar kwa wema kumgusa japo hata kwenye paji lake la uso? Au wema alitaka tu tujue yuko na mtu maarfu zaid ya diamon ?