hiyo picha ipo kwenye movie yaoHivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu,.
Embu mtazame wema hapa then useme tu chochote unachokiokota kwenye picha hii,huyu jamaa alifurahishwa na alikuwa tayar kwa wema kumgusa japo hata kwenye paji lake la uso? Au wema alitaka tu tujue yuko na mtu maarfu zaid ya diamon?
Haya ndo maisha ya wema kuforce penzi baada ya kuachwa bnaaaa
Tupunguze chuki binafsi, hapo ni Ghana na huyo jamaa ni Mghana na hiyo ni movie wanatengeza.
Haya ndo maisha ya wema kuforce penzi baada ya kuachwa bnaaaa
hawa bongo movies wa kike kwao mafanikio ni kumegwa na vigogo au watu maarufu,kumegwa na kigogo hapo ndo kutimiza dreams