kwa nini hii kitu iko jukwaa la siasa?
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.
Angalia vizuri jina la jukwaa,au umekosea mlango?
mkuu ulichelewa kuja mjini au makusudi?wema ni maarufu toka mwaka 2006 unawezaje kusema mwaka huu 2014 ndio anautafuta huo umaarufu labda useme anataka kuulinda umaarufu wake
kazi yake ni muigizaji na ana kampuni yake ya kuzalisha filamu inaitwa endless fame ameshafanya filamu kadhaa kama superstar na nyingine nyingi pia ameigiza filamu kama lerato, the point of no return na nyingine kibao
Wala si uongo mkuu.Usihusishe Tanzania hapa, hiyo show ni yenu nyie watazamaji na EATV. Mwache mungu awabariki nyie wadau
Kwani vijana ndiyo wanaruhusiwa kuangalia watu wanaoenda uchi wa nyama, umetukosea sana sisi vijanaWewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.
Wanawake wenzake sijui hawaoni?
mi nashindwaga kuelewa nchi hii haina wazazi? haina sheria? baraza la sanaa mpo wapi mnafanya nini?
mbona maadili yamepotea nchii jamani.
Mimi ni mdogo kwa wema, 25 sasa hivi ninachukumbuka walezi wetu walitulea kwa maadili mazuri sana lakini leo nchi haina maadili akina shilole jukwaani wanafanya mavitu ya ajabu mpaka nasema sheria nchii Ziko wapi zinafanya nini?
aggggggggeeerrrrry am tired. ila nina hasira sana na nchi yangu thats why I always listen or watch my grand speechs Nyerere.
Kazi kweli kweli, jamaa anamtetea shetani, haya bana tutafuta hy channel lkn kumbuka maandiko ya dini yanatutaka kukatazana maovu na kuamrisha mema.Kwa hy hata mimi nisipoangalia lkn jirani akiangalia lazima nimuweke sawa.
Kwani vijana ndiyo wanaruhusiwa kuangalia watu wanaoenda uchi wa nyama, umetukosea sana sisi vijana
sio kweli kwamba kila mtu anakinga'muzi..