Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

tatizo wanaotakiwa kukemea ndio wanaopenda mambo hayo unategemea nini?
 
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.

sio kweli kwamba kila mtu anakinga'muzi..
 
Wht a shame....ashapoteza umakini kwenye jamii anachofanya nikurudisha attention....akishindwa kujiheshimu yeye mwenyewe nani atamuheshimu.....very stupid!!!
 
Mkuu usituharibie burudani, wengine hatuwez kumpata wema live tukaona matiti na... basi acha tuone japo kwa macho
 
Mbona Channel zipo nyingi mfano Efatha, ATN, Tv Tumaini, Tv imani na zingine nyingi ambazo zinatangaza neno la Mungu tu. Kupo na watu wanapenda kuona hayo mambo tena na wewe ni mmoja wao ndio maana umeangalia mwanzo mwisho. EATV ipo kibiashara na wanafuata maadili ya habari ndio maana walificha baadhi ya viungo. Kama uliangalia bahati mbaya basi usirudie tena.
 
ndio wanaita maendeleo hayo na baadhi ya wazazi na viongozi wanaunga mkono. poor tanzania
 
Ikiwa kama kipindi kimebuniwa na 'kahaba', je unatarajia maudhui gani?. Tanzania ni tambara bovu, kichwa cha mwendawazimu.
 
mkuu ulichelewa kuja mjini au makusudi?wema ni maarufu toka mwaka 2006 unawezaje kusema mwaka huu 2014 ndio anautafuta huo umaarufu labda useme anataka kuulinda umaarufu wake

kazi yake ni muigizaji na ana kampuni yake ya kuzalisha filamu inaitwa endless fame ameshafanya filamu kadhaa kama superstar na nyingine nyingi pia ameigiza filamu kama lerato, the point of no return na nyingine kibao

wewe usiwalishe watu matango pori, kampunyikweli anayo ila haijatoa hata movie moja hizo movie ulizozisema katoa under game first quality sio endless fame. Movie yenyewe aliyoizindua kwa kumleta omotola jelade haijaingia sokon mpaka leo. Kifupi hiyo kampuni ni mwavuli tuu haijamwingizia chochote mpaka sasa Wema anasurvive kwa biashara ya Poda.
 
Ni kwl ndugu zangu,dah!....hicho kipindi ni full utupu!EATV mjali na maadili bas na sio pesa tu!
 
Usihusishe Tanzania hapa, hiyo show ni yenu nyie watazamaji na EATV. Mwache mungu awabariki nyie wadau
Wala si uongo mkuu.

Mi hicho kipindi sikijui hata kilivokaa, nakiskia tu.

Mi na movies na movies na mie.
 
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.
Kwani vijana ndiyo wanaruhusiwa kuangalia watu wanaoenda uchi wa nyama, umetukosea sana sisi vijana
 
Kazi kweli kweli, jamaa anamtetea shetani, haya bana tutafuta hy channel lkn kumbuka maandiko ya dini yanatutaka kukatazana maovu na kuamrisha mema.Kwa hy hata mimi nisipoangalia lkn jirani akiangalia lazima nimuweke sawa.
 
Wanawake wenzake sijui hawaoni?
mi nashindwaga kuelewa nchi hii haina wazazi? haina sheria? baraza la sanaa mpo wapi mnafanya nini?
mbona maadili yamepotea nchii jamani.
Mimi ni mdogo kwa wema, 25 sasa hivi ninachukumbuka walezi wetu walitulea kwa maadili mazuri sana lakini leo nchi haina maadili akina shilole jukwaani wanafanya mavitu ya ajabu mpaka nasema sheria nchii Ziko wapi zinafanya nini?


aggggggggeeerrrrry am tired. ila nina hasira sana na nchi yangu thats why I always listen or watch my grand speechs Nyerere.

Mbona movie za Mbele mnaangalia na hazina Maadili kama unavyodai Nigga..!!!???Waswahili kero kinoma
 
Kazi kweli kweli, jamaa anamtetea shetani, haya bana tutafuta hy channel lkn kumbuka maandiko ya dini yanatutaka kukatazana maovu na kuamrisha mema.Kwa hy hata mimi nisipoangalia lkn jirani akiangalia lazima nimuweke sawa.

Hao wazungu waliokuletea hyo Dini ndio wa kwanza kufanya hayo mambo af kibongo bongo mnamaind.wabongo Noma
 
Kwani vijana ndiyo wanaruhusiwa kuangalia watu wanaoenda uchi wa nyama, umetukosea sana sisi vijana

Sasa kama umeangalia na baada ya kuangalia ndo ulalamike? Vijana ni kawaida yao kufanya hivyo kwani hata huko Dar huoni wakitembea uchi, wanawake na vinguo vyao vinavyoonesha mapaja na matiti, wanaume wanaonesha makalio
 
Back
Top Bottom