Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!
Anytime na anywhere uonapo watu wanamshupalia mwehu na kumfanya a role model basi juwa kuna tatizo hapo.