Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
433
kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!
 
kwa nini hii kitu iko jukwaa la siasa?
 
huyu wema hivi anatoa hela kabisa kutuonyesha sisi huo mwili wake na blabla ambazo mwanzo mwisho hana wazo jipya huwezi angalia hivi vipindi halafu ukapata jipya la maisha
 
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.

Huyu dada atachanganyikiwa, anatafuta umaarufu kwa kila njia, sifahamu hata kazi yake ni nini
 
mkuu ulichelewa kuja mjini au makusudi?wema ni maarufu toka mwaka 2006 unawezaje kusema mwaka huu 2014 ndio anautafuta huo umaarufu labda useme anataka kuulinda umaarufu wake

kazi yake ni muigizaji na ana kampuni yake ya kuzalisha filamu inaitwa endless fame ameshafanya filamu kadhaa kama superstar na nyingine nyingi pia ameigiza filamu kama lerato, the point of no return na nyingine kibao
 
Wanawake wenzake sijui hawaoni?
mi nashindwaga kuelewa nchi hii haina wazazi? haina sheria? baraza la sanaa mpo wapi mnafanya nini?
mbona maadili yamepotea nchii jamani.
Mimi ni mdogo kwa wema, 25 sasa hivi ninachukumbuka walezi wetu walitulea kwa maadili mazuri sana lakini leo nchi haina maadili akina shilole jukwaani wanafanya mavitu ya ajabu mpaka nasema sheria nchii Ziko wapi zinafanya nini?

aggggggggeeerrrrry am tired. ila nina hasira sana na nchi yangu thats why I always listen or watch my grand speechs Nyerere.
 
kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!
Tz Hakuna kiongozi anayeweza kuthubutu kwa vitendo kukemea Uvaaji wa hovyo hovyo wa akina dada na vijana ( milegezo) hata vyama vya Upinzani wanapiga chenga kugusa Maadili mila na desturi hawathubutu ni waoga kwa Hilo Ndio Maana uvaaji wa hovyo hautakwisha na sasa unaelekea Kuwa Sugu Kama Bangi na gongo
 
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.

Haya ndiyo majibu ya vijana wetu wanaotaka tuwaamini kiuongozi! Kazi ipo!
 
ile kasi inayotumika kupandisha bei ya Umeme laiti ingelitumika kuludisha nidhamu ya uvaaji nguo Leo hii vijana wa Tz wangelikuwa Mfano kwa Nchi zingine lakini Suala hili limekuwa Sugu huku Viongozi wote wakilifumbia macho na kuwaogopa vijana Matokeo yake Uvaaji Mlegezo sasa imekuwa ni Kama jadi na ni vigumu kulitatua hili Kama ilivyo vigumu Serikari kuhamia Dodoma
 
Mh Rais nina imani hawajawahi kukushauri hili kero la Uvaaji Milegezo na uvaaji wa Hovyo hovyo wa akina dada na baadhi ya watu wazima tunakuomba Mh Rais Kama unaingia JF basi ni wakati wako wa kuwasihi watanzania kwa ujumla waludishe nidhamu ya uvaaji nguo ikibidi bunge watunge sheria Kali zinazokataza uvaaji wa hovyo na sheria iwe yenye kutekelezeka
 
Wanawake wenzake sijui hawaoni?
mi nashindwaga kuelewa nchi hii haina wazazi? haina sheria? baraza la sanaa mpo wapi mnafanya nini?
mbona maadili yamepotea nchii jamani.
Mimi ni mdogo kwa wema, 25 sasa hivi ninachukumbuka walezi wetu walitulea kwa maadili mazuri sana lakini leo nchi haina maadili akina shilole jukwaani wanafanya mavitu ya ajabu mpaka nasema sheria nchii Ziko wapi zinafanya nini?

aggggggggeeerrrrry am tired. ila nina hasira sana na nchi yangu thats why I always listen or watch my grand speechs Nyerere.
Viongozi hawawezi hawathubutu wanawaogopa kuwakemea kisa wanadai eti kuna Methali isemayo asiyefunzwa na Mzazi atafunzwa na Walimwengu .
 
Kama kuna kitu kimeshindikana hapa Tz basi hili la Uvaaji wa ajabu ajabu sasa Nadhani linaongoza na Hakuna atayeweza kulisemea hili kwa uchungu na tatizo likamalizika hili ni Suala gumu Kama ilivyo vigumu utawala wa Nchi kuhamia Dodoma
 
Yaani jinsi ilivyo Vigumu kuhamia Dodoma ndivyo ilivyo Vigumu kumaliza janga la Uvaaja wa hovyo hovyo
 
Usihusishe Tanzania hapa, hiyo show ni yenu nyie watazamaji na EATV. Mwache mungu awabariki nyie wadau
 
Back
Top Bottom