Wema sepetu na media mogul kufanya mazito leo usiku

Ni lin atafika 30 huyu kila siku yupo kwenye 20 tuu hee yeye ajipe hata bot hatutashangaa mwaka jana alijipa range na hatukuiona dramaaa qeen
 
Alipokuwa na diamond tulikuwa tunajua yeye ni mkubwa kwa diamond lakini nashangaa kwamba sasa hivi wanalingana miaka. miaka yake haisogei kila mwaka ana 27
haaaa hapa kuna ukweli kipnd kile ilikuwa wamepshana mwaka mmojaa
 
Hana hata vitz huyu Madam feki...
Like two weeks nilimuona akiwa kwenye bajaj pale maeneo ya tegeta kibaoni.
 
Wema alichachezea muda wake;
hawezi fanya kitu kipya tena;
labda apate mwanasaikolojia amsuke upya.
 
haaaa hapa kuna ukweli kipnd kile ilikuwa wamepshana mwaka mmojaa
diamond ndiye 27 huyu kipindi anachukua u miss 2006 alikuwa 19 leo wanasema alidanganya,walahi nchi nyingine utashtakiwa kwa kosa la kudanganya umri ila sio hapa maana unaoana hata kesi ya mauaji ya lulu imepotezewa kila kitu ni morooooroooo
 
huyu ana miaka 29 saa hz bhaas
 
Lembabazz anakwambia hatushindwi kitu,nadhani Media mogul kabla hajakabidh hiyo gari tuangalie ni jinsi gani tunabandua yale masticker kweny super noah, gari inakuwa kama ya matangazo bhana
 
Hiyo besdei viipiiii mbona kimyaa
hali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hizi
 
Eeeh hivyo eeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
 
hali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hizi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duuh
 
Back
Top Bottom