Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemaanisha kijanaMbichi? Ulimaanisha nini hapo?
Nafikiri anakabidhiwa Bombardier Q400..ambayo ina jet engines lakini unaendesha kwenye barabara ya mwendokasi.asije akapewa ndege
haaaa hapa kuna ukweli kipnd kile ilikuwa wamepshana mwaka mmojaaAlipokuwa na diamond tulikuwa tunajua yeye ni mkubwa kwa diamond lakini nashangaa kwamba sasa hivi wanalingana miaka. miaka yake haisogei kila mwaka ana 27
Labla akazaliwe upya New york cityWema alichachezea muda wake;
hawezi fanya kitu kipya tena;
labda apate mwanasaikolojia amsuke upya.
diamond ndiye 27 huyu kipindi anachukua u miss 2006 alikuwa 19 leo wanasema alidanganya,walahi nchi nyingine utashtakiwa kwa kosa la kudanganya umri ila sio hapa maana unaoana hata kesi ya mauaji ya lulu imepotezewa kila kitu ni morooooroooohaaaa hapa kuna ukweli kipnd kile ilikuwa wamepshana mwaka mmojaa
huyu ana miaka 29 saa hz bhaasdiamond ndiye 27 huyu kipindi anachukua u miss 2006 alikuwa 19 leo wanasema alidanganya,walahi nchi nyingine utashtakiwa kwa kosa la kudanganya umri ila sio hapa maana unaoana hata kesi ya mauaji ya lulu imepotezewa kila kitu ni morooooroooo
KweliiiMSAGA SUMU you are running behind babe, where have you been?
hali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hiziHiyo besdei viipiiii mbona kimyaa
Eeeh hivyo eeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]hali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hizi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duuhhali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hizi
Astghfirullah!hali ngumu,namba inasomwa kwelikweli ma sponsor wamekata kamba wanataka makalio ya mastaa wa kiume siku hizi,si umemuona nainai anavyoishi kifahari siku hizi
MSAGA SUMU you are running behind babe, where have you been?