Wema Sepetu na Shigongo nini kinaendelea?

Wema Sepetu na Shigongo nini kinaendelea?

Wema sepetu keshaathirika na attention ..mda wote anataka awe vile ila matokeo yake atakuwa Kuwa Kama brirney spear naye alikuwa anapenda attention .
 
Halafu pia mi nafikiri ile ilikuwa Kama mchezo maana Global wala kumshataki hakuna na wakaishia kumualika Kwenye uzinduzi wao wa TV.
 
Halafu pia mi nafikiri ile ilikuwa Kama mchezo maana Global wala kumshataki hakuna na wakaishia kumualika Kwenye uzinduzi wao wa TV.

Yani mi mwenyewe nilishangaa sana na nilikuwa nasubiria sana kitakachofuata hawa wanalao jambo.
 
Hili swali gumu jibu rahisi.GPL biashara Wema biashara.
 

Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.

119.jpg

Wema Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Lulu, Nelly, Wolper, Jokate.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!

Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.
 
mmmh anaogopa tu wataungana wema na uwoya wamtolee mauchafu yake hadharani na kumnyamba kwenye TV kama walivyomfanyia wolper, alivyomualika naona alikuwa anajikosha tu kumaliza bifu maana alijua akiongeza maadui ndivyo kasi ya kumuangamiza itaongezeka.

Kuhusu eti kwa kuwa bila wema magazeti hayauzi sio kweli, watu wanapenda umbea tu japokuwa wema pia anafuatiliwa sana, nakumbuka kuna kipindi jide aliandamwa na shigongo hadi akawatukana na kuwaambia bila yeye hawawezi kuwa na jeur ya kwenda chooni, ila sio kweli mbona sasa ivi haandikwi na bado magazeti yanauza? Global ndo wanaamua Nani awe on top kwenye magazeti yao , wakianza kumtoa Hamisa na scandal mbali mbali mbona wema mtamsahau??
Wolper walimnyamba nn mkuu,hebu fungua thread na sisi tufaidi mkuu.
 
Kwa hiyo akivuliwaa hilo wigii si ataaibikaa hicho kipara chake kama barabara isiyo na lami
 
Back
Top Bottom