Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu pia mi nafikiri ile ilikuwa Kama mchezo maana Global wala kumshataki hakuna na wakaishia kumualika Kwenye uzinduzi wao wa TV.
Wolper walimnyamba nn mkuu,hebu fungua thread na sisi tufaidi mkuu.mmmh anaogopa tu wataungana wema na uwoya wamtolee mauchafu yake hadharani na kumnyamba kwenye TV kama walivyomfanyia wolper, alivyomualika naona alikuwa anajikosha tu kumaliza bifu maana alijua akiongeza maadui ndivyo kasi ya kumuangamiza itaongezeka.
Kuhusu eti kwa kuwa bila wema magazeti hayauzi sio kweli, watu wanapenda umbea tu japokuwa wema pia anafuatiliwa sana, nakumbuka kuna kipindi jide aliandamwa na shigongo hadi akawatukana na kuwaambia bila yeye hawawezi kuwa na jeur ya kwenda chooni, ila sio kweli mbona sasa ivi haandikwi na bado magazeti yanauza? Global ndo wanaamua Nani awe on top kwenye magazeti yao , wakianza kumtoa Hamisa na scandal mbali mbali mbona wema mtamsahau??