Jamani ex madame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1]waja mna mambooo ..
Story ilikua ipo mda sema walikua hawajadhihirisha baba na mama manunu tuuu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]!!!
Tunda na kunta,Wema na Wozuuu
Aiseee 😁 ndio niko nyuma namna hiii!!We dogooo uko Wapi shogaa!wameachana mdaaa sanaa after kupata mtoto,Tunda Yuko na meja kunta anajiita Mrs Khaleed!
Papa imeuzwaaaaa weeee kila mkoa hadi sasa inagawiwa bureeeEmbu tuweke ushabiki pembeni.
Hivi hichi kibibi hakijaathirika kweli?
Kwa jinsi kilivyokonda, kuchoka, kushakaa na kupigwa miti ovyo ovyo, kuna kila sababu ya kuhisi kama kina umeme.
Nimependa hapo kwenye "mafefu "Hakuna mafefu yasio na ncha.. kumbe ndiyo wahenga walimaanisha vitu vya dizaini hii 😫
Embu tuweke ushabiki pembeni.
Hivi hichi kibibi hakijaathirika kweli?
Kwa jinsi kilivyokonda, kuchoka, kushakaa na kupigwa miti ovyo ovyo, kuna kila sababu ya kuhisi kama kina umeme.
Ewaaa rightly after birth wakaachana mda Sanaa mpk tumesahauKwahio walikutana kupata mtt tu [emoji2]
Acha tu lemme kip kwayati[emoji38][emoji38][emoji38]Hehehe we unaonaje
Ila vijana wa sasa dont care sana 😄Ewaaa rightly after birth wakaachana mda Sanaa mpk tumesahau
Selfika hukoo uko busy na vocha za mjep,[emoji38][emoji38]Aiseee [emoji16] ndio niko nyuma namna hiii!!
kama namuona vile mange kimambi atakavyompiga spana kule kwenye app yake.Wema bwanaa dahh aibuu