Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Siku hizi akili za watoto wa kike ziko makalioni na sehemu zao za siri, inasikitisha sana.
Haya mambo zamani tulikuwa tunaita ukahaba na ilikuwa ni aibu sana kwa mwanamke kubadilisha wanaume kama shati. Siku hizi imekuwa ni ujanja na kuna makundi ya watu kwa maelfu yanafuatilia na ku-admire. Kweli wakati ni ukuta. BTW Huyu Wema tayari ni kibibi. Kwa wanawake walioko kwenye hili game la ''ukahaba wa zama za sanyansi na teknolojia'', muda wake umeshapita. Damu changa imechachipuka na wanaume hawana huruma hata kidogo wameshamkacha kiana. Sasa wamebaki kina ''mzee fisi'' kukomboleza mabaki.
 
Mimi pamoja na kufulia kwangu huku, wema simkazi maniner.

Pisi za kitaa kwangu zinamuacha mbali mno. Watu wameingia gari namba E, alafu fala mmoja anakimbizana na corolla namba A ya mwaka 1997.

Kwani Whozu na umaarufu wote ule anashindwa kung'oa watoto wakali wabichi mpaka ahangaike na huyu bibi yake?
 
Back
Top Bottom