Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Haya dada yenu na kapo zake zile zilizojulikana tuu hapo,picha kwa hisani ya studio, hapo hayupo chaz baba,TID,mr blue,Clemence,Luis munana,calissa,yule walofunga mpk ndoa ya kiislamu nani yule ...nk...nk...
Screenshot_20220930-223539_Chrome.jpg
Screenshot_20220930-223549_Chrome.jpg
Screenshot_20220930-223556_Chrome.jpg
Screenshot_20220930-223603_Chrome.jpg
 
Hee nimekumbuka
Whozu si babe daddy wa Tunda? Huko vilikwendaje kwani??

Mimi sio mdau sana wa IG
Sipendi kweli demu uwe unapiga ila kwenye mtoto anakuwa sio wako.utahis una LOW SPERM COUNT.inaumiza sana AISEE
 
Mwanamke ni kama bidhaa sokoni kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo ubora unapungua.
 
Papa imeuzwaaaaa weeee kila mkoa hadi sasa inagawiwa bureee
Na kavu ilivyo tamu sidhani kama kinga huwa ipo.
Pale mtu akiingia akapime kwanzaa
Kavu tamu kweli umejuaje, kuna siku nimeandaa condom Kuna mwanamke nilikuwa na miadi nae, ebwanaaa, mwanamke Alikuwa na bongee la nundu sijawai kuona na umri wangu huu,nilizitupa mvunguni zile condom
 
Wozu anatuaibisha sana huyu jamaa sijui ni domo zege sijui vipi huyu dogo. Yani pisi zote mjini na sikuhizi kila demu mkali, ukipita viwanja huko wachumba kibao vitoto mileage below 20k vya kumwaga lakini bado anahangaika na fupa.
 
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.

Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.

Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
View attachment 2370614
Mahaba ndindindi au Miwaya ndindindi?
 
Hizi ndio Zama ambazo huyu mtoto alikuwa wamoto sana wasanii waliandika verse kumsifia. Waliomfaidi huyu mtoto ni Chief wa Msoga, Mr.Blue, Clement Ikulu, Mondi alimalizia malizia tu. Kipindi kile mtoto ana mzigo wa kwenda [emoji23][emoji23][emoji23]!

Whozu kadandia mtumbwi wa vibwengo hakiyanani!

Zi
Bila kumsahau idrisa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom